Pre GE2025 Kuna kundi limeibuka linapinga Freeman Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Pre GE2025 Kuna kundi limeibuka linapinga Freeman Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ikiwa wanachama wake watamchagua hakuna namna itabidi tukubaliane nao hata kama hatumtaki
Tunaomba busara itumike Mzee mbowe aamue kupumuzika ili awapishe wengine,

Tunaonuso nyakati vizuri tunamshauri apumuzike. Tu .

Kama tunavyomshauri mama samia apumuzike uraisi kwa kuwa hana jipyya tena zaidi ya kuuza nchi
Apumzike wapi amesema amechoka?

Ukweli Freeman Mbowe ni kiwakilishi cha Upinzani hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla
 
Vipi kuhusu Lipumba? Sio Mzee? Sio mwenyekiti wa CUF tangu enzi?? Mrema wa TLP alifariki akiwa Mzee na alihudumu kama mwenyekiti wa TLP enzi na enzi mbona hawakumsema?? Mwenyekiti wa UDP sio Cheyo?? Ni kijana?
Ukiona wanamsema Mwenyekiti Mbowe jua ni tishio kwao.
 
Sina tatizo na wanachama wa CHADEMA wanaotaka kubadili uongozi wao.

Hawa wana haki zote kama wanachama kutaka uongozi wanaoutaka chamani kwao.

Mimi tatizo langu ni watu ambao hawana hata uanachama wa CHADEMA, lakini wanataka kubadili mwenyekiti wa CHADEMA.
Inasikitisha mno...hii tunaita ni mental illness
 
Ni kama ilivyo kwa Russia. Russia inamuhitaji Vladimir Putin kuliko wakati wowote ule. Bila Putin ni rahisi kwa west kuisambaratisha Russia. Bila Mbowe na Lissu hakuna CHADEMA imara.
CCM ndio wanaongoza kulalamika kwa mbowe kuwa madarakani kwa muda mrefu.
Ambaye hajaridhika milanho ipo wazi. Watoke.
Na hii mentality ya kijinga ndio inaiua chadema kwa kudhani kuwa yeye ndiye ajuaye kuiongoza tu mwingine ndan ya CDM ni maboya kwahiyo akifa na chadema imekufa siyo?
Poleni sana, mtafika mmechoka sana kila siku anaitwa ikulu anapewa ma v8 na pesa anawauza anakuwa tajiri lisu anakodi gari kufanya mikutano anasimama juu ya meza ngazi tofali za block daah hii nchi kuna watu wamerogwa akili 😀
 
Hao wanaibuka kila mwaka hawajaanza Leo ni wa kupuuzwa
 
Habari wana JF

Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums

Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe kupitia posits na comments.

Hoja zao kuu ni Mbowe aachie uenyekiti wa chama hicho kikuu cha Upinzani Tanzania

Sababu ni kwamba Mbowe umri wake ni mkubwa!! Maajabu haya!

Wengine wanajaribu kuwagombanisha mbowe na Katibu wake mnyika ati amesusia kazi za ukatibu!

Kimsingi hizo hoja hazina nguvu,
Tujifunze hata kwa wenzetu leo Buden anawania urais kwenye Taifa kubwa kama marekani.

Buden ukimwangalia ni mkubwa sana kwa Mbowe
Lakini kwa marekani sio hoja.

Mbowe bado ni kijana anatufaa kuendelea kuongoza upinzani hapa Tanzania.

Tujiulize wapenda demokrasia hapa nchini ni kwanini watawala hawamtaki Mbowe
Mpaka wanafikia hatua ya kuwarubuni
Watu wamhujumu Mbowe?
Jibu ni moja kamanda Mbowe ni mpinzani halisi.
Sababu kuu umri ni mkubwa?
 
So hata akipewa nchi hawezi achia madaraka kwa sababu kama hizo anazokomaa nazo kwenye chama..
Hana kiasi?
Dikteta
 
Habari wana JF

Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums

Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe kupitia posits na comments.

Hoja zao kuu ni Mbowe aachie uenyekiti wa chama hicho kikuu cha Upinzani Tanzania

Sababu ni kwamba Mbowe umri wake ni mkubwa!! Maajabu haya!

Wengine wanajaribu kuwagombanisha mbowe na Katibu wake mnyika ati amesusia kazi za ukatibu!

Kimsingi hizo hoja hazina nguvu,
Tujifunze hata kwa wenzetu leo Buden anawania urais kwenye Taifa kubwa kama marekani.

Buden ukimwangalia ni mkubwa sana kwa Mbowe
Lakini kwa marekani sio hoja.

Mbowe bado ni kijana anatufaa kuendelea kuongoza upinzani hapa Tanzania.

Tujiulize wapenda demokrasia hapa nchini ni kwanini watawala hawamtaki Mbowe
Mpaka wanafikia hatua ya kuwarubuni
Watu wamhujumu Mbowe?
Jibu ni moja kamanda Mbowe ni mpinzani halisi.
Washamstukia uongo wake, ulaghai na usultani.
 
Siyo kwamba mbowe anapenda sana uenyekiti ila anaangalia chama atamuachia nani,pale chadema watu wengi wapo kwa maslahi yao tofauti na wanavojinasibu.
Baba endelea kuwa mwenyekiti mpaka utakapoona inafaaa,vijana wako wana tamaa sana watakiua chama.
 
Back
Top Bottom