Pre GE2025 Kuna kundi limeibuka linapinga Freeman Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unapodai umri wa Biden kwa wamarekani sio hoja, ulifuatilia mjadala wake wa wiki iliyopita?
 
Pamoja na mapenzi yako makubwa kwa 'Kamanda' Mbowe kitu kimoja tu umezidisha chumvi ni kusema Mbowe ni Kijana. Kama sikosei Mbowe ana miaka 62. Sasa kumuita mtu wa miaka 62 kijana ni mapenzi yaliyopitiliza na ninaweza kusema ni kumkosea heshima.
Andiko lake limejaa ulaghai. Anaonesha namna anavyomtumikia anayemtetea
 
Uenyekiti wa mbowe mbona fisiemu unawatoa kamasi hivi?
 
Hapo lazima niwataje covid na mchungi wa kondoo
 
Tutaona mengi safari hii
 
Chama linahubiri demokrasia lakini miaka nenda rudi mwenyekiti ni yule yule
 
Trust me,huyo mwamba akikiacha chama ndo mwanzo wa chadema kupotea katika medani za siasa,moja ya point ya huyo mwamba kukitunza hicho chama ni kwakuwa muasisi ni baba yake
Mafisi wanakinyemelea wakitafune na mifupa yake yote🤭
 
UKISEMA CHADEMA NI CHAMA KIKUU CHA UPINZANI,
USISAHAU NI NGUVU NA MSIMAMO WA MWENYEKITI WAO.

NA NDIO MAANA VIONGOZI WA CHADEMA WANANUNULIWA KWA BEI KUBWA.
WE SIO ULIONA SHEREHE ZA KUMPOKEA MSIGWA ZILIVYOKUWA NZITO NA ZA KITAIFA HUKO CCM.
 
Fact mkuu.
Akiachia tuu soon chama miguu juu kama vile vya kina mrema na kina mbatia
 
Mchaga mwenzie ww!!?
 
Mbowe bado ni KIJANA anatufaa kuendelea kuongoza upinzani hapa Tanzania
 
Mimi napinga maana mbowe ni Ruba na king'ang'a a.k.a kigando
 
Toa usenge wako hapa hivi nyie watu mnafikiri kwa kutumia makalio?
 
Kwani mw
Ni haki ya kikatiba shida iko wapi?

Kijana kwa data za UN mwisho ni miaka 35.

Mwenyekiti ni above 55 ni Baba na Babu sasa ukijana uko wapi hapa!
Punguzeni porojo!
Kwani mwenyekiti wa mafisiem ana age ngapi!?
 
Akitoka kulamba asali ikulu ndiyo anawadanganyia nyumbu haya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…