Pre GE2025 Kuna kundi limeibuka linapinga Freeman Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shida sio 'Uzee' Bali kuwepo kwenye kiti hicho kwa muda mrefu!

Hii haikisi maana halisi ya demokrasia, pia hukigawa chama kwa kutengeneza chawa wanamuimba mwenyekiti kama ulivyo wewe!

A good dancer, knows when to leave a stage! PLO Lumumba!
 
Hizo ndio hoja zenu mafisiem sasa.hopeless kabisa.Inaonekana ata historia ya ccm huijui ndo maana unamnanga mbowe bila hoja za maana.
 
Shida sio 'Uzee' Bali kuwepo kwenye kiti hicho kwa muda mrefu!

Hii haikisi maana halisi ya demokrasia, pia hukigawa chama kwa kutengeneza chawa wanamuimba mwenyekiti kama ulivyo wewe!

A good dancer, knows when to leave a stage! PLO Lumumba!
kwani kukaa kwake kumeathiri harakati za chama?.kwani kukaa kwake ni kinyume cha katiba ya chama.Msifikiri wanachama wa cdm ni wajinga waendelee kumchagua ila nyie ndio mnaakili.Mbowe ataondoka muda ukifika ila sio wanavyotaka wapinzani wa cdm.
 
Kusema ukweli Mbowe ameshavuka level za kuitwa Mwenyekiti wa CHADEMA, kitu kilichobaki ni kutawazwa rasmi kuwa Chifu, Mangi, au Mfalme wa CHADEMA.
Nadhani umekosea sana kumfananisha Mbowe na Biden maana mfano wako hauna uhalisia wa Mbowe na nafasi ya wenyekiti wa CHADEMA kwa miongo kadhaa.
Inaleta ukakasi wa chama kinachojiita cha Demokrasia kukosa demokrasia ndani yake, hii inatupa picha kuwa siku akikalia kiti cha Rais wa nchi hii huenda ndiyo itakuwa wale wasiotaka kutoka madarakani.
 
Kama Kuna kosa CCM watalifanya ni kutaka Mbowe aachie Madaraka, Mbowe hajawahi kuwa tishio kwa CCM kwaiyo wanatakiwa wahakikishe Mbowe kwa namna yoyote asitolewe katika iyo nafasi nyeti.

Anaweza kuja Kiongozi mwingine apo Chadema, akaisababishia CCM matatizo Makubwa.
 
Ikiwa wanachama wake watamchagua hakuna namna itabidi tukubaliane nao hata kama hatumtaki
Tunaomba busara itumike Mzee mbowe aamue kupumuzika ili awapishe wengine,

Tunaonuso nyakati vizuri tunamshauri apumuzike. Tu .

Kama tunavyomshauri mama samia apumuzike uraisi kwa kuwa hana jipyya tena zaidi ya kuuza nchi
 
Trust me,huyo mwamba akikiacha chama ndo mwanzo wa chadema kupotea katika medani za siasa,moja ya point ya huyo mwamba kukitunza hicho chama ni kwakuwa muasisi ni baba yake
Muasis siyo baba yake ni baba mkwe wake
 
Vipi kuhusu Lipumba? Sio Mzee? Sio mwenyekiti wa CUF tangu enzi?? Mrema wa TLP alifariki akiwa Mzee na alihudumu kama mwenyekiti wa TLP enzi na enzi mbona hawakumsema?? Mwenyekiti wa UDP sio Cheyo?? Ni kijana?
 
Hebu atoke kwanza tuone panapovuja
 
Sina tatizo na wanachama wa CHADEMA wanaotaka kubadili uongozi wao.

Hawa wana haki zote kama wanachama kutaka uongozi wanaoutaka chamani kwao.

Mimi tatizo langu ni watu ambao hawana hata uanachama wa CHADEMA, lakini wanataka kubadili mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Vipi kuhusu Lipumba? Sio Mzee? Sio mwenyekiti wa CUF tangu enzi?? Mrema wa TLP alifariki akiwa Mzee na alihudumu kama mwenyekiti wa TLP enzi na enzi mbona hawakumsema?? Mwenyekiti wa UDP sio Cheyo?? Ni kijana?
Kwa hiyo Lipumba na Cheyo ndiyo wamekuwa role models wa CDM? CDM inakubali kuwa chama cha mtu mmoja kama CUF, UDP na TLP?
 
Ni kama ilivyo kwa Russia. Russia inamuhitaji Vladimir Putin kuliko wakati wowote ule. Bila Putin ni rahisi kwa west kuisambaratisha Russia. Bila Mbowe na Lissu hakuna CHADEMA imara.
CCM ndio wanaongoza kulalamika kwa mbowe kuwa madarakani kwa muda mrefu.
Ambaye hajaridhika milanho ipo wazi. Watoke.
 
Ukiona unaandamwa na wapinzani wako basi jua upo sehemu sahihi.

Kama msigwa kafika bei ,je nani aaminiwe akabidhiwe uenyekiti zaidi ya mbowe ambaye hatetereki? Mbowe kapitia misukosuko ya kila aina ,ameharibiwa miradi yake kibao ili aende CCM lakini wapi MWAMBA kakaza.....Sasa wameona waanzishe propaganda kama amekaa muda mrefu ,mbona Lipumba awamwambii? Mbona cheyo awamwambii? Mbona Hashimu rungwe awambambii nao si wamekaa mida mirefu?
 
 
Kwa hiyo Lipumba na Cheyo ndiyo wamekuwa role models wa CDM? CDM inakubali kuwa chama cha mtu mmoja kama CUF, UDP na TLP?

Lengo kusiwe na double standard ,kama wanamsema mbowe ,basi wamseme na lipumba,cheyo na Rungwe.
 
Kwani ilisalimika? ENL alichukua Nchi ,sema Lubuva aliokoa jahazi kwa NZIRANKENDE.....Nzirankende kuona ule mtiti wa 2015 ulikuwa mkubwa 2020 akona bora yeshe akafanya UCHAFUZI.
Sawa kamanda. Stop crying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…