Pre GE2025 Kuna kundi limeibuka linapinga Freeman Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Apumzike wapi amesema amechoka?

Ukweli Freeman Mbowe ni kiwakilishi cha Upinzani hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla
 
Vipi kuhusu Lipumba? Sio Mzee? Sio mwenyekiti wa CUF tangu enzi?? Mrema wa TLP alifariki akiwa Mzee na alihudumu kama mwenyekiti wa TLP enzi na enzi mbona hawakumsema?? Mwenyekiti wa UDP sio Cheyo?? Ni kijana?
Ukiona wanamsema Mwenyekiti Mbowe jua ni tishio kwao.
 
Inasikitisha mno...hii tunaita ni mental illness
 
Na hii mentality ya kijinga ndio inaiua chadema kwa kudhani kuwa yeye ndiye ajuaye kuiongoza tu mwingine ndan ya CDM ni maboya kwahiyo akifa na chadema imekufa siyo?
Poleni sana, mtafika mmechoka sana kila siku anaitwa ikulu anapewa ma v8 na pesa anawauza anakuwa tajiri lisu anakodi gari kufanya mikutano anasimama juu ya meza ngazi tofali za block daah hii nchi kuna watu wamerogwa akili 😀
 
Hao wanaibuka kila mwaka hawajaanza Leo ni wa kupuuzwa
 
Sababu kuu umri ni mkubwa?
 
So hata akipewa nchi hawezi achia madaraka kwa sababu kama hizo anazokomaa nazo kwenye chama..
Hana kiasi?
Dikteta
 
Washamstukia uongo wake, ulaghai na usultani.
 
Siyo kwamba mbowe anapenda sana uenyekiti ila anaangalia chama atamuachia nani,pale chadema watu wengi wapo kwa maslahi yao tofauti na wanavojinasibu.
Baba endelea kuwa mwenyekiti mpaka utakapoona inafaaa,vijana wako wana tamaa sana watakiua chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…