Kuna kundi linajitokeza kudhoofisha Mamlaka ya Mwanaume

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
817
Reaction score
881
eb2e208c-1034-473e-a192-2c12e62c13a1.png
 
Wanaume wenyewe wameamua kujidhoofisha kwa kutafuta validation ya uanaume wao nje, badala ya wao wenyewe binafsi kudhihirisha hilo.

Khalaghabhao!!
 
Wale nao ni wangese tu...
Wengine ni wajanja wajanja wanataka kupiga hela za wajinga wajinga
Mwanaume hujitangazi, unajulikana tu..
Yule IPM eti anajinadi kabisa hakupewa unyumba wiki ngapi sijui, akamnunulia mkewe iphone 17, na akamwambia hii huichukui ukiwa na nguo, nikugegede ndio uchukue... 😂😂 sasa unajiuliza huyu mtu timamu kweli..
Mke wangu simpi zawadi ili anipe PAPA wemba, nampa zawadi kwa upendo tu nilio nao kwake, na mara nyingi upemdo huu ni matokeo ya matendo yake kwangu, kadri anavyonipa amani ya moyo, ninavyoona wanangu, nyumba, heshima kwa mama yangu na mambo mengine, najikuta tu ninafarijika na namnunulia zawadi ya uwezo wangu, sio kumpa mwanamke zawadi kisa akupe NYABWA.
Otherwise iwe ni utani wa baina yenu...
Mfano naweza kumwambia mke wangu, nimekununulia kyupi, ila nataka nije kukuvesha, ama nimekununulia kitu fulani, nikukute umeshika ukuta ndio nikupe(HAYA YAPO kwa wapendanao)
 
Umenena vyema kabisa mkuu.
 
Okay. IPM ni nani? Serious question. Ata link tu mnipe nitasoma.
 
Im

Imagine wanaambiwa ".... Ndio maana wanaliwa, ....... Na mwaka huu hakuna kutoa jicho". Alafu hao wapuuzi nao wamekaa wanacheka-cheka tu kama wanawake wa uswahilini.
 
Kuna comment nimeona Twitter wadau wanadai ni millennial ndio walienda kwenye hicho kikako sijui,hakuna GEN Z aliyeenda.

Hili limeniuma sana millennial tunaonekanaga wapuuzi kwenye mengi sana .
 
Im

Imagine wanaambiwa ".... Ndio maana wanaliwa, ....... Na mwaka huu hakuna kutoa jicho". Alafu hao wapuuzi nao wamekaa wanacheka-cheka tu kama wanawake wa uswahilini.
Wameambiwaje, hayo maneno wameambiwa wanaume ama??
 
Wanaume wenyewe wameamua kujidhoofisha kwa kutafuta validation ya uanaume wao nje, badala ya wao wenyewe binafsi kudhihirisha hilo.

Khalaghabhao!!
Tuonane Kijiwe Chako Hapo Emma Anakuja Himo Restaurant
 
Uhuni uhuni tu hamna la maana zaidi ya kupotezana
 
Wale nao ni wangese tu...
Wengine ni wajanja wajanja wanataka kupiga hela za wajinga wajinga
Mwanaume hujitangazi, unajulikana tu..
Yule IPM eti anajinadi kabisa hakupewa unyumba wiki ngapi sijui, akamnunulia mkewe iphone 17, na akamwambia hii huichukui ukiwa na nguo, nikugegede ndio uchukue... 😂😂 sasa unajiuliza huyu mtu timamu kweli..
Mke wangu simpi zawadi ili anipe PAPA wemba, nampa zawadi kwa upendo tu nilio nao kwake, na mara nyingi upemdo huu ni matokeo ya matendo yake kwangu, kadri anavyonipa amani ya moyo, ninavyoona wanangu, nyumba, heshima kwa mama yangu na mambo mengine, najikuta tu ninafarijika na namnunulia zawadi ya uwezo wangu, sio kumpa mwanamke zawadi kisa akupe NYABWA.
Otherwise iwe ni utani wa baina yenu...
Mfano naweza kumwambia mke wangu, nimekununulia kyupi, ila nataka nije kukuvesha, ama nimekununulia kitu fulani, nikukute umeshika ukuta ndio nikupe(HAYA YAPO kwa wapendanao)
Hakika.
 
Im

Imagine wanaambiwa ".... Ndio maana wanaliwa, ....... Na mwaka huu hakuna kutoa jicho". Alafu hao wapuuzi nao wamekaa wanacheka-cheka tu kama wanawake wa uswahilini.
Manaume ya Dar nimeyadharau sana! Eti yanakusanywa kwa kulipia elfu 50 kwenda kusikiliza ujinga?
 
Back
Top Bottom