Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Umenena vyema kabisa mkuu.Wale nao ni wangese tu...
Wengine ni wajanja wajanja wanataka kupiga hela za wajinga wajinga
Mwanaume hujitangazi, unajulikana tu..
Yule IPM eti anajinadi kabisa hakupewa unyumba wiki ngapi sijui, akamnunulia mkewe iphone 17, na akamwambia hii huichukui ukiwa na nguo, nikugegede ndio uchukue... 😂😂 sasa unajiuliza huyu mtu timamu kweli..
Mke wangu simpi zawadi ili anipe PAPA wemba, nampa zawadi kwa upendo tu nilio nao kwake, na mara nyingi upemdo huu ni matokeo ya matendo yake kwangu, kadri anavyonipa amani ya moyo, ninavyoona wanangu, nyumba, heshima kwa mama yangu na mambo mengine, najikuta tu ninafarijika na namnunulia zawadi ya uwezo wangu, sio kumpa mwanamke zawadi kisa akupe NYABWA.
Otherwise iwe ni utani wa baina yenu...
Mfano naweza kumwambia mke wangu, nimekununulia kyupi, ila nataka nije kukuvesha, ama nimekununulia kitu fulani, nikukute umeshika ukuta ndio nikupe(HAYA YAPO kwa wapendanao)
Inatudhalilisha sana.Wanaume wenyewe wameamua kujidhoofisha kwa kutafuta validation ya uanaume wao nje, badala ya wao wenyewe binafsi kudhihirisha hilo.
Khalaghabhao!!
PoleniiiInatudhalilisha sana.
Asante. Hapa inabidi siku moja tunawakuta kwenye hivyo vikao vyao tunawatia bakora, ndipo wataacha kutudhalilisha.Poleniii
😂😂😂Asante. Hapa inabidi siku moja tunawakuta kwenye hivyo vikao vyao tunawatia bakora, ndipo wataacha kutudhalilisha.
Imagine wanaambiwa ".... Ndio maana wanaliwa, ....... Na mwaka huu hakuna kutoa jicho". Alafu hao wapuuzi nao wamekaa wanacheka-cheka tu kama wanawake wa uswahilini.Wale nao ni wangese tu...
Wengine ni wajanja wajanja wanataka kupiga hela za wajinga wajinga
Mwanaume hujitangazi, unajulikana tu..
Yule IPM eti anajinadi kabisa hakupewa unyumba wiki ngapi sijui, akamnunulia mkewe iphone 17, na akamwambia hii huichukui ukiwa na nguo, nikugegede ndio uchukue... 😂😂 sasa unajiuliza huyu mtu timamu kweli..
Mke wangu simpi zawadi ili anipe PAPA wemba, nampa zawadi kwa upendo tu nilio nao kwake, na mara nyingi upemdo huu ni matokeo ya matendo yake kwangu, kadri anavyonipa amani ya moyo, ninavyoona wanangu, nyumba, heshima kwa mama yangu na mambo mengine, najikuta tu ninafarijika na namnunulia zawadi ya uwezo wangu, sio kumpa mwanamke zawadi kisa akupe NYABWA.
Otherwise iwe ni utani wa baina yenu...
Mfano naweza kumwambia mke wangu, nimekununulia kyupi, ila nataka nije kukuvesha, ama nimekununulia kitu fulani, nikukute umeshika ukuta ndio nikupe(HAYA YAPO kwa wapendanao)
Wameambiwaje, hayo maneno wameambiwa wanaume ama??Im
Imagine wanaambiwa ".... Ndio maana wanaliwa, ....... Na mwaka huu hakuna kutoa jicho". Alafu hao wapuuzi nao wamekaa wanacheka-cheka tu kama wanawake wa uswahilini.
Mkuu....Wanaume wa dar hawajawahi kuwa salama kwa kweli
Tuonane Kijiwe Chako Hapo Emma Anakuja Himo RestaurantWanaume wenyewe wameamua kujidhoofisha kwa kutafuta validation ya uanaume wao nje, badala ya wao wenyewe binafsi kudhihirisha hilo.
Khalaghabhao!!
Hakika.Wale nao ni wangese tu...
Wengine ni wajanja wajanja wanataka kupiga hela za wajinga wajinga
Mwanaume hujitangazi, unajulikana tu..
Yule IPM eti anajinadi kabisa hakupewa unyumba wiki ngapi sijui, akamnunulia mkewe iphone 17, na akamwambia hii huichukui ukiwa na nguo, nikugegede ndio uchukue... 😂😂 sasa unajiuliza huyu mtu timamu kweli..
Mke wangu simpi zawadi ili anipe PAPA wemba, nampa zawadi kwa upendo tu nilio nao kwake, na mara nyingi upemdo huu ni matokeo ya matendo yake kwangu, kadri anavyonipa amani ya moyo, ninavyoona wanangu, nyumba, heshima kwa mama yangu na mambo mengine, najikuta tu ninafarijika na namnunulia zawadi ya uwezo wangu, sio kumpa mwanamke zawadi kisa akupe NYABWA.
Otherwise iwe ni utani wa baina yenu...
Mfano naweza kumwambia mke wangu, nimekununulia kyupi, ila nataka nije kukuvesha, ama nimekununulia kitu fulani, nikukute umeshika ukuta ndio nikupe(HAYA YAPO kwa wapendanao)
Manaume ya Dar nimeyadharau sana! Eti yanakusanywa kwa kulipia elfu 50 kwenda kusikiliza ujinga?Im