maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Mhhhh ...NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo
kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi
Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?
Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Unaweza usiyajue haya kwa ulimwengu wa kawaida niseme Mama analindwa lakini hana amani ndani ya moyo wake,ni hawa waliomtoa kwenye maridhiano alipokuwa akipendwa na kila mtu leo hii amebaki kuchukiwa unazani hii ni akili yake?atakuja stuka too late watu wameshachukua inchi,siasa zinatisha sana mimi mwenyewe nimeogopa,lakini ndiyo hivyo ulimwengu wa kiroho huwa hauongopi,na naamini its to late hata kujinasua hawezi tena yuko katikati ya kina cha maji,anasubiri chombo kimfikishe kitakapochagua chenyewe kutuaHongera sana mkuu kwa kuandika kinyume nyume, tumekuelewa.
Hongera sana mkuu kwa kuandika kinyume nyume, tumekuelewa.
Ogopa sana siasa zinatisha mkuuAnajiaribia mwenyewe
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo
kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi
Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?
Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi
Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?
Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Sijasoma uzi ila yeye mwenyewe hana uwezo mkubwa wa kiakili.NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi
Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?
Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Mtu unakuwa na "macho matatu", halafu huoni chochote, uko kwenye giza tororo kabisa!NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi
Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?
Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Ndugu yangu nakujua kwa misiamo yako na huwa napenda michango yako,hebu jiulize yule mama aliyewarudisha ndugu zetu kutoka ukimbizini,wakampa heshima zote aliyekubaliwa mpaka na wapinzani leo hii anatoa amri ya kuuwa watu,au angetumia nguvu kubwa kiasi hiki kuingia madarakani wakati kila mtu alikuwa anamkubali,Hakuna washauri wala nini. Hata mimi mwanzoni niliamini hivyo. Ila kwa sasa nimegundua ana sifa ya kutojiamini! Ana uwezo mdogo kwa nafasi anayolazimisha kuikalia! Na pia ana roho mbaya.
Ndugu yangu hujawahi kuona mtu unachochewa ukaseme hivi,kumbe wanaokwambia lengo lao uzidi kujialibia,omba Mungu akupe maisha marefu mwisho wake utauonaUliposema hotuba ya Jana ni ya kuandikiwa hapohapo nimekuona debe tupu,hujui hqta unaloandika. Hotuba ya jana ilikua ya kutoka kichwani haikua ya kuandikiwa na mtu