PostGE2025 Kuna kundi ndani ya Serikali linamuharibia Samia ili achukiwe na wananchi

PostGE2025 Kuna kundi ndani ya Serikali linamuharibia Samia ili achukiwe na wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kejeli tu 🥹😭💔

Nachoka na huu utetezi yaani kama kabinti fulani kadogo kasichojua baya na zuri!

Yaani hadi roho imeniuma, kuna maneno hatujafundishwa kumuongelea mtu mzima.

Lakini yeah kwa mtu aliyeua watoto!
Yeah inahuzunisha sana. Very sad indeed! Nimeduwaa tu kwa hicho kipimo cha age of consent kwa mtu ambaye tayari keshazaa wabunge na mawaziri kama vile bado anaweza kuombwa na masela! 😀😀
 
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu

Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi

Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?

Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
NIMESOMA UPUMBAVU KUTOKA KWA MPUMBAVU.
 
Yeah inahuzunisha sana. Very sad indeed! Nimeduwaa tu kwa hicho kipimo cha age of consent kwa mtu ambaye tayari keshazaa wabunge na mawaziri kama vile bado anaweza kuombwa na masela! 😀😀
We ndio mchochezi 😂😂😂💔
 
Kweli kabisa
Hili kundi ndo limemteua na mwanae kwenye uwaziri
 
Back
Top Bottom