PostGE2025 Kuna kundi ndani ya Serikali linamuharibia Samia ili achukiwe na wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lakini pia mbona JK utawala wake unasifika kwa kuwapa wapingaji nafasi ya kutosha bila kuwakwaza imekuwaje awamu hii wakati mnasema yeye ndiye remote?
Nyakati ni tofauti sana. Wakti wake bado kulikuwepo na viongozi waliomtangulia, na CCM kama chama kilikuwa bado hakijavurugika sana, kwa hiyo taratibu zilikuwa bado zinakubalika kufanya kazi.
Kwa mfano: Kikwete asingeweza kujipitisha kuwa mgombea wa chama kwa kutumia njia aliyotumia Samia, ambayo iliungwa mkono na huyo huyo Kikwete.

Kumtetea Samia kwa njia nyingine yoyote, hata hiyo ya jinsia yake haiwezekani kabisa.
Huyu ni mwanamke mwenye tabia mbovu kabisa, aliyejaa kiburi na mwingi wa uovu. Alichojaaliwa ni kuwa fundi wa kuigiza upole wakati inapotakiwa aonyeshe hivyo, hasa akiwa chini ya kiongozi aliye juu yake. Uigizaji huo ndio uliomwezesha kufikia hapo alipo sasa; mahali ambapo hana mtu wa kumfunga gavana ya tabia zake mbovu na uovu wake.
 
Ccm wakikushauri ukashupaza shingo wanatafuta namna ya kukuua ,kwanza wanakufanya unuke ubaya na uchukiwe Ili Mungu akiamua ugomvi watu wasiwe na hisia na wewe!

Hadi sasa wameshafanikiwa Kwa asilimia 90!

Ndio Maana ya check and balance!!

Halafu mtu wao kajitenga nae kama hayupo vile,kajikalia kimya kama zombie kumbe anajua mchezo wote!
 
🤣🤣🤣 Mkuu, "age of consent?" You have a bizarre imagination! Uliwaza nini hapa.
Kejeli tu 🥹😭💔

Nachoka na huu utetezi yaani kama kabinti fulani kadogo kasichojua baya na zuri!

Yaani hadi roho imeniuma, kuna maneno hatujafundishwa kumuongelea mtu mzima.

Lakini yeah kwa mtu aliyeua watoto!
 
Nyakati ni tofauti sana. Wakti wake bado kulikuwepo na viongozi waliomtangulia, na CCM kama chama kilikuwa bado hakijavurugika sana, kwa hiyo taratibu zilikuwa bado zinakubalika kufanya kazi.
Kwa mfano: Kikwete asingeweza kujipitisha kuwa mgombea wa chama kwa kutumia njia aliyotumia Samia, ambayo iliungwa mkono na huyo huyo Kikwete.

Kumtetea Samia kwa njia nyingine yoyote, hata hiyo ya jinsia yake haiwezekani kabisa.
Huyu ni mwanamke mwenye tabia mbovu kabisa, aliyejaa kiburi na mwingi wa uovu. Alichojaaliwa ni kuwa fundi wa kuigiza upole wakati inapotakiwa aonyeshe hivyo, hasa akiwa chini ya kiongozi aliye juu yake. Uigizaji huo ndio uliomwezesha kufikia hapo alipo sasa; mahali ambapo hana mtu wa kumfunga gavana ya tabia zake mbovu na uovu wake.
Perfect description!
 
Samia kesha haribu hao masheikh hawana Cha kufanya kikinuka wakikaa njee ni shaba na wao, mi nafikiri Samia achane na mikutano kwanza Hali ipoe Kila akifanya mikutano anaharibu atulie kwanza, mambo yasha haribika, ona Sasa wameanza kumhusisha na nchinbi tena Yani tatizo juu ya tatizo
 
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu

Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi

Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?

Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Mtamaliza namna zote za kumkingia kifua mama. Ila ukweli ni kwamba kayakanyaga.
 
Napata wakati mgumu sana kuamini kama yeye ametoa maamuzi ya kila kitu kwa asilimia 100. Lakini uhalisia unasema tofauti kwani yeye ndiyo kioo cha kila kitu.

Kushauriwa au lah, option iliyobaki ni moja tu besides resignation. For the Greater Good.
 
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu

Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi

Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?

Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Rejea kauli ya Dkt Samia alisema hajawahi kuua hata inzi nadhani utaelewa. Walichokifanya walimpatia pombe akalewa kabla ya speech
 
Wao ndo wanamwambia atuzomee na kutushikia viuno?
Hata mimi nilikua nawaza hivo lakini hapana kwakweli,hamna cha washauri wala nini it’s all her!
 
Hujawawahi kusikia akirudia rudia kusema yeye ndio amiri jeshi mkuu.

Hakuna kundi wala washauri labda useme Dully ndio anamshawishi na yule katili.wa janjaweed aliyetokea znz. Na makonda.

Lakini imaonekana maamuzi yake ni ya mwisho kwa ule msisitizo wa mimi.ndie CiC hakuna nywiiiiii nywaaaa.
Yakiwa mazuri chawa hamsemi anashauriwa ila yakijikoroga mnaanza kuongopa kuna watu wanamshauri.
 
Mnavyomkwepesha lawama as if she’s underage, Last time i checked she was above the age of consent.

Huyu bibi anachukiwa kila mahala hata ndani ya ccm yenyewe! Nakuapia kama wangefanya uchaguzi wa wazi wa kumpata mgombea wa ccm, huyu mama angeshindwa hands down na ndio maana akafanya waliyomruhusu afanye!
 
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu

Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi

Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?

Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Huyo mama yako naye ni mpuuzi anavyo akili na utashi. Hivi uliwahi kumsikia amekemea utekaji?
 
Sasa atakemea vipi kama kuna watu wanamuamomisha kwamba hii ndiyo njia nzuri au mpango mzuri wa kuwanyamazisha wapinzani wake,tuseme kwa upande mwingine Rais wetu ni mateka hata kama ameingia madarakani kiujanja
 
Ndugu yangu hujawahi kuona mtu unachochewa ukaseme hivi,kumbe wanaokwambia lengo lao uzidi kujialibia,omba Mungu akupe maisha marefu mwisho wake utauona
Pumbavu unamtetea huyo bibi ngoja yakukute mjinga chawa mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom