PostGE2025 Kuna kundi ndani ya Serikali linamuharibia Samia ili achukiwe na wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kejeli tu πŸ₯ΉπŸ˜­πŸ’”

Nachoka na huu utetezi yaani kama kabinti fulani kadogo kasichojua baya na zuri!

Yaani hadi roho imeniuma, kuna maneno hatujafundishwa kumuongelea mtu mzima.

Lakini yeah kwa mtu aliyeua watoto!
Yeah inahuzunisha sana. Very sad indeed! Nimeduwaa tu kwa hicho kipimo cha age of consent kwa mtu ambaye tayari keshazaa wabunge na mawaziri kama vile bado anaweza kuombwa na masela! πŸ˜€πŸ˜€
 
NIMESOMA UPUMBAVU KUTOKA KWA MPUMBAVU.
 
Yeah inahuzunisha sana. Very sad indeed! Nimeduwaa tu kwa hicho kipimo cha age of consent kwa mtu ambaye tayari keshazaa wabunge na mawaziri kama vile bado anaweza kuombwa na masela! πŸ˜€πŸ˜€
We ndio mchochezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
 
Kweli kabisa
Hili kundi ndo limemteua na mwanae kwenye uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…