Kuna kuoa na kusindikizana kimaisha

Kweli mkuu, ndio maana kuna pointi pale inasema; kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wetu, tunajikuta tumepata mtu wakusindikiza naye maisha.

Kama roho inakuwa haikuumi muda wowote kuwa na mwenzako; jua huyo uliyenaye mnasindikiza naye maisha. Kwa kitu kikali, nafsi itakuhitaji muda wote kuwa naye, na utakuwa uko tayari hata upoteze kazi.
 
Bila shaka utakuwa na umri mdogo(samahani kama nimekukwaza)

Binadamu wote huwa tunakinai, sasa linapokuja suala la mapenzi hasa kwa sisi wanaume huwa kuna aina fulani ya kuzoea ulie naye.


Hata awe mzuri vipi utamzoea na kumuona wa kawaida tu na utatamani kwingine.

Na nikwambie tu kilicho kizuri zaidi ndo utakizoea haraka zaidi.

Linapokuja suala la ndoa ni zaidi ya sex, umbo, sura n.k hivyo hufikia muda vinaisha automatically kwa hiyo lazima kuwa na connection kati yanu ambayo haitaisha haraka
 
Watolee mfano yule official Lynn demu mzuri alafu anavusha shisha, mlevi, ana matusi ile mbaya kwa Maoni ya mtoa mada mwanamke kama huyu eti awekwe ndani?
Muda wote mnara utakuwa unasoma, tatizo la nguvu za me hazitakuwepo
 
Naomba nikuulize mkuu; pisi kali ikipita karibu na wewe, huwa hugeuzi shingo?
 
Kuoa na kuolewa ni kama kubet tu.

Kwenye ndoa utamu,Raha na amani unayo Mwenyewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…