Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Wengi tunasindikizana kimaisha tuNdoa achana nayo kabisa. Utatoka magego bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi tunasindikizana kimaisha tuNdoa achana nayo kabisa. Utatoka magego bure.
Kweli mkuu, ndio maana kuna pointi pale inasema; kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wetu, tunajikuta tumepata mtu wakusindikiza naye maisha.Kitu naelewa ni kwamba mwanamke yeyote ana mvuto wa pekee kulingana na mwanaume anapendelea nini.
Kama ni ishu ya urembo na muonekano huenda akawa mweupe, maji ya kunde, matte black safi whatever you like. Kuna ambao tunahusudu hivi.
Wengine ni upbringing yake, hapa kuna waswahili, wazungu, waongo, wakweli, washenzi, wapole. Kuna wanaozingatia humu.
Kuna tipwa tipwa, shape kali, hips, tacos, urefu, ufupi inshort mjengo wa body na outlook. Kuna ambao ndio kigezo kikuu cha kuoa.
Haya yote yalioelezwa hapo juu ni criteria tu za wanaume kuchagua mwenza au kuchaguliwa na mwanamke ili uwe mjanja wake ila kuna jambo moja hivi ambalo ndio key factor kwa wote ME na KE. Hilo linasawazisha milima na mabonde nalo ni MAWE. Ukiwa nayo tu full usalama. Zisiwe hela za mwisho wa mwezi bali hela zako from investment.
If you make millions no doubt huna haja ya kuchunguza sana mtu wa kuoa au kuolewa naye we beba unayeona anafurahisha machoni mwako. Hela itasawazisha vipengele vyote.
Ndio hivyo mkuu, umeoa au mnasindikiza maisha?Noma sana!
Hata kutoka out nako ina swiiKwa sura tu anaonekana wife material😂
Kanaharibu ndoa! Wamaumw tuna mitihaniHaka katoto sumu kweli, mzee haka lazma wahuni tuishi labda kawe hakatembei kwa miguu 😂😂😂
Sure kabisaWa kawaida sana huyu demu
Hilo nenoUna umri gani?
Watolee mfano yule official Lynn demu mzuri alafu anavuta shisha, mlevi, ana matusi ile mbaya kwa Maoni ya mtoa mada mwanamke kama huyu eti awekwe ndani?Siyo Kwamba unaendeshwa na tamaa ya mwili
Swali la msingi sana..naongeza je ana kipato ama kazi maalum ya kumwingizia pesa.?Una umri gani?
Wanasema, huo ni msalaba wako
Muda wote mnara utakuwa unasoma, tatizo la nguvu za me hazitakuwepoWatolee mfano yule official Lynn demu mzuri alafu anavusha shisha, mlevi, ana matusi ile mbaya kwa Maoni ya mtoa mada mwanamke kama huyu eti awekwe ndani?
Hoja na umri havina mahusiano; jibuni hoja 😀😀Swali la msingi sana..naongeza je ana kipato ama kazi maalum ya kumwingizia pesa.?
#MaendeleoHayanaChama
Naomba nikuulize mkuu; pisi kali ikipita karibu na wewe, huwa hugeuzi shingo?Bila shaka utakuwa na umri mdogo(samahani kama nimekukwaza)
Binadamu wote huwa tunakinai, sasa linapokuja suala la mapenzi hasa kwa sisi wanaume huwa kuna aina fulani ya kuzoea ulie naye.
Hata awe mzuri vipi utamzoea na kumuona wa kawaida tu na utatamani kwingine.
Na nikwambie tu kilicho kizuri zaidi ndo utakizoea haraka zaidi.
Linapokuja suala la ndoa ni zaidi ya sex, umbo, sura n.k hivyo hufikia muda vinaisha automatically kwa hiyo lazima kuwa na connection kati yanu ambayo haitaisha haraka
Tupe mtazamo wakoHuo ni mtazamo wako
Ukiwa mwanaume lazima ugeuze shingo.Naomba nikuulize mkuu; pisi kali ikipita karibu na wewe, huwa hugeuzi shingo?