Kuna kuoa na kusindikizana kimaisha

Kuna kuoa na kusindikizana kimaisha

Haka katoto sumu kweli, mzee haka lazma wahuni tuishi labda kawe hakatembei kwa miguu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndivyo inavyotakiwa, utaoaje mtu ambaye hatamaniwi huko nje, halafu unajiita umeoa?
 
Kwahiyo unasema wengine hatujaolewa bali tunasindikizana tu kwenye maisha?
Nimejisikia vibaya kweli.[emoji22]
 
Kuoa ni kuoa tu, uzuri wa mwanamke upo machoni pa mwanaume wake.. Hakuna mwanamke mmbay, hakuna sie na shape nzuri.. Maana nguvu za kuchagua zipo tofauti.. Kama wako weka ndani mtunzane msubiri kufa

Kama kuna wanawake wazuri basi jua wapo Wabaya.
Hayo mengine ni kujifariji na unafiki.
 
Kwahiyo unasema wengine hatujaolewa bali tunasindikizana tu kwenye maisha?
Nimejisikia vibaya kweli.[emoji22]

Anazingua tuu usijali.
Kuna uzuri wa Aina mbili.
Kuna uzuri kulingana na macho ya mtu,
Alafu kuna uzuri wa kitu chenyewe,

Sasa Kama wewe sio mzuri basi kwenye macho ya mumeo labda ni mzuri ndio maana kakuoa.

Ila inashauriwa kuoa mwanamke mzuri Kwa maana uzuri ndio uanamke wenyewe.
 
Kitu naelewa ni kwamba mwanamke yeyote ana mvuto wa pekee kulingana na mwanaume anapendelea nini.

Kama ni ishu ya urembo na muonekano huenda akawa mweupe, maji ya kunde, matte black safi whatever you like. Kuna ambao tunahusudu hivi.

Wengine ni upbringing yake, hapa kuna waswahili, wazungu, waongo, wakweli, washenzi, wapole. Kuna wanaozingatia humu.

Kuna tipwa tipwa, shape kali, hips, tacos, urefu, ufupi inshort mjengo wa body na outlook. Kuna ambao ndio kigezo kikuu cha kuoa.

Haya yote yalioelezwa hapo juu ni criteria tu za wanaume kuchagua mwenza au kuchaguliwa na mwanamke ili uwe mjanja wake ila kuna jambo moja hivi ambalo ndio key factor kwa wote ME na KE. Hilo linasawazisha milima na mabonde nalo ni MAWE. Ukiwa nayo tu full usalama. Zisiwe hela za mwisho wa mwezi bali hela zako from investment.

If you make millions no doubt huna haja ya kuchunguza sana mtu wa kuoa au kuolewa naye we beba unayeona anafurahisha machoni mwako. Hela itasawazisha vipengele vyote.
 
Walio-oa hapa duniani ni wachache sana; wengi tunaishi na watu wakusindikiza nao maisha; ndio maana tunakimbilia kwenye tabia, bila kuangalia shepu na sura nzuri.

Walio-oa ni wale wanaoishi na warembo wakali, wenye shepu nzuri na sura nzuri; hawa ndio waliofanikiwa kuoa.

Sisi wengine tulioangalia vigezo vya tabia, mara ana kazi n.k; sisi tunasindikizana kimaisha tu, ili yaweze kwenda.

Ndio maana kila siku, mwanaume anatamani wanawake warembo na wazuri; ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake, anaishia kutamani tu.

Kuoa sio swala jepesi; karibu kwa mjadala.​
Ndoa achana nayo kabisa. Utatoka magego bure.
 
Back
Top Bottom