Kuna kupenda na kuna kuamua kupenda

Kuna kupenda na kuna kuamua kupenda

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Kupenda ni maamuzi ya kihisia/ moyo, huku kunaweza sababishwa na kitu chochote hasa physique ya mtu au tabia

Kuamua kupenda ni conscious decision, maamuzi ya akili, haya ni matokeo ya situational analysis.

Tunapokua wadogo hua tunapenda, ila tunapokua wakubwa tunaamua kupenda.

Mara nyingi tunaamua kupenda kile tunachokimudu.

Walioamua kupenda wana amani kuliko waliopenda, aloamua kupenda anajua alieamua kumpenda na kwanini ameamua kumpenda.

Amua kupenda sasa
 
Back
Top Bottom