Kuna kupenda na kuna kuamua kupenda

Kuna kupenda na kuna kuamua kupenda

[emoji23][emoji23][emoji23]
Physics ni balaa, hakuna cha kuishindanisha nacho
Ya advance ilinipeleka peleka, acha kabisa
Sema ya Advance ile haikunipeleka sana.
Form 5 pale unakutana na wale walioenda Kwa mgote, sijui Moody Physics,ila baadaye tulikuwa level moja.

Kiufupi Physics ni hatari sana, pale Advance unakutana na moto wa Thermodynamics, hujakaa vizuri unakutana na Electrostatics , hujatulia kwenye siti unakutana na Electromagnetism.

Kiufupi mapenzi hayajafika level ya Physics na Calculus.
 
Physics yote ya advance ilinipeleka peleka aiseeee
Tena wale waliosoma tution kwa mgote wakija na zile pamphlets zao ndio kabisa nlikua nachanganyikiwa
Nilimaliza salama ila kwa shida sana
Quantum physics ndio iliniokoa kidogo kwnye pepa 2 bila hivoπŸ˜‚

Ila mapenzi nayo yanaburuza nsiwe muongoπŸ˜†
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“βœοΈβœοΈβœοΈβœοΈ
Uliwahi kugusa Mgote electronics...
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie ogopa mtu anaandika kwa βœ‹
 
Sema ya Advance ile haikunipeleka sana.
Form 5 pale unakutana na wale walioenda Kwa mgote, sijui Moody Physics,ila baadaye tulikuwa level moja.

Kiufupi Physics ni hatari sana, pale Advance unakutana na moto wa Thermodynamics, hujakaa vizuri unakutana na Electrostatics , hujatulia kwenye siti unakutana na Electromagnetism.

Kiufupi mapenzi hayajafika level ya Physics na Calculus.
Tism... opt
Electrostatic..opt
Kidogo electronics... nayo ukitumia mgote utakimbia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚βœ‹
 
Mgote Physics.🀣🀣🀣🀣.
Alafu unahangaika mwishoni ndo unajua ya kwamba kitabu cha S.Chand XI na XII ndo kila kitu , ukichanganya na Principles of Physics by Michael Nelkon na kitabu cha Roger Muncaster na kitabu cha Tom Duncan.

Maticha wa tuitions wanatia pressure tu.
 
Mgote Physics.🀣🀣🀣🀣.
Alafu unahangaika mwishoni ndo unajua ya kwamba kitabu cha S.Chand ndo kila kitu , ukichanganya na Principles of Physics by Michael Nelkon na kitabu cha Roger Muncaster na kitabu cha Tom Duncan.

Maticha wa tuitions wanatia pressure tu.
Projectile ya nani ile.....
An shida tupu...
Wenzangu wa BAM yale ma trigonometry wanayotumia khaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€πŸ€πŸ€πŸ‘ adv phys inahitaji utulivu mnoooo
Maswali mengi yanatoka kwa chand..
But why kwa room temperature tunachanganya madude
 
Back
Top Bottom