mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
electrical, civil, mechanical, highway, mechatronic engineeringNi course ipo hiyo ina advanced phy ambayo.. ni ya moto mno mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
electrical, civil, mechanical, highway, mechatronic engineeringNi course ipo hiyo ina advanced phy ambayo.. ni ya moto mno mkuu
Ndo kuna phy ngumu..electrical, civil, mechanical, highway, mechatronic engineering
sana, na math juuNdo kuna phy ngumu..
Ukiacha ya adv sio..?
Kupenda ni maamuzi ya kihisia/ moyo, huku kunaweza sababishwa na kitu chochote hasa physique ya mtu au tabia
Kuamua kupenda ni conscious decision, maamuzi ya akili, haya ni matokeo ya situational analysis.
Tunapokua wadogo hua tunapenda, ila tunapokua wakubwa tunaamua kupenda.
Mara nyingi tunaamua kupenda kile tunachokimudu.
Walioamua kupenda wana amani kuliko waliopenda, aloamua kupenda anajua alieamua kumpenda na kwanini ameamua kumpenda.
Amua kupenda sasa
Nikajua mwisho ni adv tuu mkuu..sana, na math juu
kozi zote za science ni ngumuNikajua mwisho ni adv tuu mkuu..
Kumbe mambo bado
Huu ni uongo. Kila mmoja hufuata kusoma kile anawezakozi zote za science ni ngumu
zinahitaji utulie sana tofauti na zingineHuu ni uongo. Kila mmoja hufuata kusoma kile anaweza
Ukiona kozi za science ni ngumu basi hukutakiwa kufika hiyo level uliyopo.
Hata slow learner ukimpeleka kusoma social work pale ustawi wa Jamii bado ataona hiyo kozi ni ngumu.
Phy phykozi zote za science ni ngumu
Chochote unachosoma kinahitaji utulie. Unafikiri mtu anayesoma law bila kutulia atafaulu?zinahitaji utulie sana tofauti na zingine
Umekomaa sana, Kubali tu Science ni ngum na Art ni maji basi wala hatujawadharau. Umesoma Course gani labda maana Mwamba ngoma .....Chochote unachosoma kinahitaji utulie. Unafikiri mtu anayesoma law bila kutulia atafaulu?
Au anayesoma sociology bila kutulia atafaulu?
Kozi ni kama namba uwanjani, hakuna namba rahisi. Kila mchezaji hucheza namba yake. Au unahisi beki ni namba ngumu kuliko kuwa forward?
Lakini kiasi cha mental energy inayotumika ni tofauti,Chochote unachosoma kinahitaji utulie. Unafikiri mtu anayesoma law bila kutulia atafaulu?
Au anayesoma sociology bila kutulia atafaulu?
Kozi ni kama namba uwanjani, hakuna namba rahisi. Kila mchezaji hucheza namba yake. Au unahisi beki ni namba ngumu kuliko kuwa forward?
Science sio ngumu bali wewe uliyeenda kusoma science hukustahili kusoma science.Umekomaa sana, Kubali tu Science ni ngum na Art ni maji basi wala hatujawadharau. Umesoma Course gani labda maana Mwamba ngoma .....
Ukiona inatumia energy kubwa kusoma hiyo kitu unaita ngumu basi jua hukustahili kusoma hiyo.Lakini kiasi cha mental energy inayotumika ni tofauti,
Huwezi kufananisha kuchambua sentense kwa njia ya matawi na organic chemistry.
Country wide uwe na adabu na science.
Umeng'ang'ana sana Mkuu, Ukweli utabaki kua hivo haijalishi utatunga siasa na falsafa gani za kujifariji. Science ni ngumu tangu kuumbwa kwa dunia na tunaisoma kwa Energy kubwa sana. Hutaki kukubali hama dunia. Huwez beba vitu simple vingine unajkaza tu mpaka watu walio nje ya mfumo wanaona simple kumbe siri ya mtungi unaijua mwenyewe.Ukiona inatumia energy kubwa kusoma hiyo kitu unaita ngumu basi jua hukustahili kusoma hiyo.
Hiyo kuchambua sentensi ingekua rahisi si kila mtu angekua anafaulu?
Au unaamini wale ambao wanaosoma HKL, HGK, HGL hakuna anayefeli?
Tupo kwenye ulimwengu wa specialization, kila mtu na eneo lake. Pilot huwa anashangaa daktari anawezaje kufumua ubongo na kuurudisha ulivyo.
Daktari naye anashangaa pilot anawezaje kurusha ndege juu
Engineer anashangaa lawyer anawezaje kuchambua penal code yenye pages zaidi ya 500, lawyer naye anashangaa engineer anawezaje kujenga daraja baharini.
Kila mtu na eneo lake. Hakuna kugumu wala kurahisi
Hata walio feli shule watakimbilia bodaboda kwa kigezo cha specialization ila ukweli ni kwamba hawana akili na Masomo yote kwao yamekua magumu. Specialization inaendana na uwezo wa mtu. Namaanisha ukishindwa science ndiyo unaenda Arts ukishindwa na uko ndo unaacha shule sasa.Ukiona inatumia energy kubwa kusoma hiyo kitu unaita ngumu basi jua hukustahili kusoma hiyo.
Hiyo kuchambua sentensi ingekua rahisi si kila mtu angekua anafaulu?
Au unaamini wale ambao wanaosoma HKL, HGK, HGL hakuna anayefeli?
Tupo kwenye ulimwengu wa specialization, kila mtu na eneo lake. Pilot huwa anashangaa daktari anawezaje kufumua ubongo na kuurudisha ulivyo.
Daktari naye anashangaa pilot anawezaje kurusha ndege juu
Engineer anashangaa lawyer anawezaje kuchambua penal code yenye pages zaidi ya 500, lawyer naye anashangaa engineer anawezaje kujenga daraja baharini.
Kila mtu na eneo lake. Hakuna kugumu wala kurahisi
Wewe huyo😂sayansi ya mapenzi ni ngumu kuliko hisabati na fizikia
wewe mrembo wa selfika upo?Wewe huyo😂
🤝😍I jus love this 🙏🙏Ukiona inatumia energy kubwa kusoma hiyo kitu unaita ngumu basi jua hukustahili kusoma hiyo.
Hiyo kuchambua sentensi ingekua rahisi si kila mtu angekua anafaulu?
Au unaamini wale ambao wanaosoma HKL, HGK, HGL hakuna anayefeli?
Tupo kwenye ulimwengu wa specialization, kila mtu na eneo lake. Pilot huwa anashangaa daktari anawezaje kufumua ubongo na kuurudisha ulivyo.
Daktari naye anashangaa pilot anawezaje kurusha ndege juu
Engineer anashangaa lawyer anawezaje kuchambua penal code yenye pages zaidi ya 500, lawyer naye anashangaa engineer anawezaje kujenga daraja baharini.
Kila mtu na eneo lake. Hakuna kugumu wala kurahisi
Makubwaawewe mrembo wa selfika upo?