HelloSawa
Fizikia ni moto wewe.sayansi ya mapenzi ni ngumu kuliko hisabati na fizikia
Nakaziasayansi ya mapenzi ni ngumu kuliko hisabati na fizikia
π€£π€£π€£π€£daaah haya mapenzi kila siku muongozo mpya.
Kulikua na ulazima gani wa kutumia kingereza chenye pilipili?Kupenda ni inbult reckless obssesion over another human being for the sake of reproduction hence the continuous and the survival of human species. Nature at work.
Sent from my G011A using JamiiForums mobile app
Yes mambo GenuineManHello
Mama ebu fanya bac mpango wa kapicha pmWowπππ
Au tumuulize maana yake au ndo ile unakuwa unatype kwenye cm unabonyeza lile pendekezo la katikati πKulikua na ulazima gani wa kutumia kingereza chenye pilipili?
Quantum physicsFizikia ni moto wewe.
Hasahasa ile ya University ni moto tema chini.
Adv phys.... khaaaa wewesayansi ya mapenzi ni ngumu kuliko hisabati na fizikia