Kuna kupenda na kuna kuamua kupenda

Kwanza time factor. Miaka miwili ni michache sana kwa madude Yale, naona nowadays wameamua kubadilika ndo maana madogo wamepiga one za kutosha , wamebadilisha mtaala na kwasasa wanatumia sana vitabu vilivyochapishwa vya T.I.E.

Alafu pili shule nyingi za Advance, waalimu wengi huwa hawafundishi kwa commitment inayotakiwa. Wana-assume kuwa watu wamesoma matuition so wanaacha kuwaguide na kuwafundisha. Sijui wamebadilika nowadays au mambo ni yaleyale.
 
Washauri ndo mnapigiwa na siwe wapita njia!!!
 
Heshimu wake na wapenzi wa watu
Sawa lakini ndio ukweli, kumbuka mada kuu ni nini mkuu?? Kama furaha hakuna unahama tu uende kwengine. Shida tunaona kuhama labda ni kupotea, kumbe hapana. Furaha ya moyoo
 
Ila T.I.E hamna kitu ..
Yaaani unaona kabisa hamna madude ya kutosha..,
kuna kipindi hizo TIE zilizuiliwa sa sijui ilikuaje..
Kiufupi zipo shallow.... weee adv phy yote wameweka kwa vitabu viwili tuu duuhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣 Sasahivi zitakuwa na unyamanyama maana wanazisifia.

Ila enzi zetu ilikuwa unataka ujifelishe makusudi kusoma vitabu vya T.I.E.
 
🀣🀣🀣🀣 Sasahivi zitakuwa na unyamanyama maana wanazisifia.

Ila enzi zetu ilikuwa unataka ujifelishe makusudi kusoma vitabu vya T.I.E.
Nilikua natumia ku solve maswali tuu..
Mana kuna mda walitutisha kua necta huwa wanatoa kule... ilaa waaapiiiiiπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Ila kuna kile cha tom duncan sijui daaah phy ya kule raha sana
 
We unajua kuchambua sentense kwa njia ya mshala wewe? Achana ni iyo kitu, ni ngumu sana
Mi nilisoma for fact... nijue mambo
.ila kwa paper vilinipiga KO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kitu gani ngumu mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€
 
Kiswahili hicho, virai na vishazi, sentence huru na changamano

Ni mchaka mchaka Chandi haoni ndani
Hamna kitu ka hicho... .
Hayo masarufi.. vishazi na vi nini sijui mbona simple sana mkuu...
Kuchambua kwa njia ya matawi sijui mshale... khaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata maswali yake sio ya kustaajabisha kivile..
Njoo huku kwa phys utaelewa sasa which is which....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Hizo topics ndani Kuna kuderive formula kama zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…