Kuna lugha tano za mapenzi, unaijua ya mpenzi wako?

Nakubaliana na hoja kwa asilimia zote.
 
What women wants?...

wanawake kila siku wanasema wanataka hiki wanataka kile
hawapendi hiki au kile......

hawajali kuhusu nini wanaume hawapendi au kutaka

its all about them
You cant be serious!! Nafikiri wanawake wanaongoza kwa kusema nini wanaume wanataka kuliko hata wanaume wenyewe.
 
Nyie ndo mkiwa na wapenzi wenu mnatoa hadi machozi. Huu ubabe wa jukwaani tumeuzoea tangu babu Seya anaingia gerezani.
Niamin mm kweli wanawake wengi wanaondoka sana mikononi mwangu kwa tabia za kuwapigia simu tu nikitaka mchezo sipo romantic hata kidogo na hii inachangiwa sana na kazi ninazofanya nipo busy always sio usiku sio mchana sio weekend
 
Ubusy mwingine mnazidishaga aisee, hamna asili ya kujali wenzenu so mnaucover kuwa busy. Mtu anayekujali hata awe busy vipi, atatafuta tu hata dakika akujulie hali. Afu mtu anayekujua upo busy, a minute to her means a lot. Jitahidi hata muda unavaa soksi na viatu mpigie mwenzio weka loud speaker msalimie. Kama unaweza ukatafuta muda juu chini ukiwa na genye, basi tafuta na muda pia umsalimie mwenzio. No smart woman atasettle na mtu anayemtafuta tu kisa genye
 
Nadhani kama ni simu mpaka wanachoka ila ile habari ya kufuatana kama kumbikumbi ndo issue

Nawatext sana na calls sana coz wapo kadhaa
 
Ila usikute kuna mtu anaongea zote izo na bado ni mkalimani wa nyingine nyingii za dunia ya kifilipino huko [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom