Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Hapo lazma ukubali tuuEeh hongera sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo lazma ukubali tuuEeh hongera sana.
Hapo lazma ukubali tuu
Kwakweli nimekukubali kakaAu sio hamna namna
Kwakweli nimekukubali kaka
Haha no comment. ..Hapo lazma ukubali tuu
Ni kweli usijitese raha jipe mwenyewe, fanya kile unachoona ni sahihi na kinachokupatia furaha.Hata ufanye nn hamtosheki,
Mwisho wa siku watakwambia tunapenda bad boys,
Kwanini nijpe stress zisizo na msingi?
Ni kweli usijitese raha jipe mwenyewe, fanya kile unachoona ni sahihi na kinachokupatia furaha.
Najua unaogopa kuumizwa ndio maana umefunga chain ah ah ah ah.
Ahahahaaaaaa [emoji119]Yah nina kimoyo chepesi sana kuzuia hilo naweza watext wote i miss you kwa mpigo halafu narudi zangu kula webner za forex
Ndio walivyo. Juzi kati "nilitoa boko!" wife akashtukia. Tukayamaliza. Nikamdukua whatsapp. Nikakuta anashauriana na marafiki zake jinsi ya kujimilikisha haka kakibanda chetu. Sijakaa vizuri. Ananishauri nikaandike wosia mahakamani! Sijamaliza kumtafakari.What women wants?...
wanawake kila siku wanasema wanataka hiki wanataka kile
hawapendi hiki au kile......
hawajali kuhusu nini wanaume hawapendi au kutaka
its all about them
Nikioa ndo utakua wakati mzuri wa kuyatimizaHadi uoe?
Kwanini usianze sasa?
Hahahah. Safi saana, hawanaga shukrani hawa.Mi lugha tam napenda nikiwafanya wanavyokojoa shwaaa!wengine kama wanapata degedege wanavyokakamaa najua hiyo hawafake orgasms!
Unajiskia hata uzito kuongea maneno matamu kwa mademu sababu wengi hawaaminiki hata mimi nakuwa sitaki kuamini mwanamke ndio maana nipo hai hadi leo.
We leta mapenzi yako ya isidingo kwa makahaba uone ya dagaa iko wapi!
Ukitaka ushinde hili gem hamna cha bebii wala nini??!!hata ya kudanganya sitaki kuitoa sababu wanawake ni makafiri
Sio kweli.Wanawake wa Karne hii wanaelewa lugha moja tu MONEY
We mpe pesa tu atakupenda kinoma!
...........
Mark my word
Hahahaaaa!! Wahi kabla hajakuwahiNdio walivyo. Juzi kati "nilitoa boko!" wife akashtukia. Tukayamaliza. Nikamdukua whatsapp. Nikakuta anashauriana na marafiki zake jinsi ya kujimilikisha haka kakibanda chetu. Sijakaa vizuri. Ananishauri nikaandike wosia mahakamani! Sijamaliza kumtafakari.
Hahahaaaa!! Wahi kabla hajakuwahi