Kuna lugha tano za mapenzi, unaijua ya mpenzi wako?

namba moja sitaki kabisa kusikiaa.., ila ukiambiwa huwa inakaa sana akilini... Maajabu.

2&3 ndo yangu...., Lirooo jamn Lirooo..., najua utapita hapa.

mengine tutaongezea tu
 
Mi lugha yng mwendo wa mkwanja tu....hizo nyingine zote mbwembwe
 
Zawad inafanya nn ktk mapenz??labda aijakuelewa unaweza kua upo sahihi maana nilidhan unazungumzia upendo kumbe unaongelea mapenz
 
Tunapenda hugs, kisses, kushikwa mkono, kugusanisha miguu chini ya meza, kuegemewa, cuddling...name all physical contacts. Mpenzi akifanya hivi = Nakupenda Kinoma.
SAFI SANA
 
2. Muda wa kuwa pamoja bila bugudha


It makes a world of difference to have someone who can hang out with you for a few hours and forget about everything else and just be present in the moment; it is increasingly rare to get someone's undivided attention.
 
namba moja sitaki kabisa kusikiaa.., ila ukiambiwa huwa inakaa sana akilini... Maajabu.

2&3 ndo yangu...., Lirooo jamn Lirooo..., najua utapita hapa.

mengine tutaongezea tu
Mkuu comment yako imeniacha hoi....Liroo ndo baby wako?
 
2,4 na 5

Hiyo namba 1 hainihusu sana maana bado sijapenda......
 
it's simple "women their unpredictable" hata ufanye yote hayo atatafuta kijizababu a fanye yakwake
 
Jamani mapenzi nayo yafundishwe shule maana naona ishakuwa kazi
 
Yaani hiyo ya kuguswa ni balaa unaweza kumnasa binti na akaoza kwelikweli hiyo 5 mkuu nimeikubali halafu chukua 5.
 
Kuna yetu Waku
kuna yetu Wakuria haipo ni ile ya vibao nangumi kwetu ndo inaeleweka zaidi
 
hamnaga lugha nyie ...mnakariri.....lugha yenu kuu ni ''ANKARA'',,,,,vingine mbwembwe....
 
Jamani ukipata mpenzi namba 1 utakoma. Kila saa ni maswali ya Unanipenda? au Hivi kweli unaniona kwenye future yako?
 
Inategemea kama na huyo mpenzi wako kama anazo hisi za namna hio, kama ni tofauti badala ya upendo kila kitu hugeuka kero na karaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…