Hii dunia katika kila tasnia zimekuwa zikitengeneza ma star, hugawia kwa viwango, wengine huitwa ma Super Star wengine huitwa Mega Stars. Lakini tuunapokuja Kwa Shahrukh Khan tunashindwa kupata jina sahihi la kumpa.
Hii ilikuwa Asubuhi ya Iddi, yani kibongo bongo watu wanawahi kusali iddi halafu wanawahi kwenda kufukia msosi, kwa wakristo hutulia zao ndani na kujipumzikia Holiday, Huko Bandra watu wanawahi kuamka wanawahi kufukuzia kwenye nyumba ya King Khan, Kwa kujua kwamba Kila siku ya Eid huwa na Kawaida ya kutoka nje ya Kijivaranda chake na kupungia mashabiki wake mkono.
Their is Nothing like This Guy