Kuna ma Star na kuna Shahukh Khan

Kuna ma Star na kuna Shahukh Khan

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Hii dunia katika kila tasnia zimekuwa zikitengeneza ma star, hugawia kwa viwango, wengine huitwa ma Super Star wengine huitwa Mega Stars. Lakini tuunapokuja Kwa Shahrukh Khan tunashindwa kupata jina sahihi la kumpa.

Hii ilikuwa Asubuhi ya Iddi, yani kibongo bongo watu wanawahi kusali iddi halafu wanawahi kwenda kufukia msosi, kwa wakristo hutulia zao ndani na kujipumzikia Holiday, Huko Bandra watu wanawahi kuamka wanawahi kufukuzia kwenye nyumba ya King Khan, Kwa kujua kwamba Kila siku ya Eid huwa na Kawaida ya kutoka nje ya Kijivaranda chake na kupungia mashabiki wake mkono.
Their is Nothing like This Guy
 
Duh hapo sina la kusema maana ni kanjibai kwa kanjibai hiyo ngoma draw
 
india ina watu zaidi ya 1b

kwahiyo usishangae sana

Mkuu hiyo sio Hoja ya Msingi, Population ya Mumbai haizidi milioni 25 tu. hakuna mtu aliyotoka miji ya mbali kuja hapo. Na kwa uhakika majority ya hao ni wakaazi wa South Mumbai tu, Mana sio Rahisi mtu kutoka North akaja South na kuwahi hiyo hafla.
 
Ni vile ujaamua tu....
Ila internal una kitu 😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
india ina watu zaidi ya 1b

kwahiyo usishangae sana
Maajabu ya Wahindi hayaishii hapa. Hata hivyo sioni kama yeye ndiye wa kwanza Michael Jackson alikuwa pia anakumbana na hii hali. Yani sijawahi kuelewa unampendaje mtu kiasi kwamba unaacha shughuli zake unaenda kusimama ili umwone tu akupungie mkono kwakweli watu wana mahaba.
 
Mbona kuna wabongo wakisikia mondi katua Airport wanaenda kumpokea wengine mpaka kusukuma gari 😄
Vp wee huwezi kufanya hivyo

Ova
Siwezi kufanya upumbavu kama huo hata siku moja
 
Back
Top Bottom