Baadhi ya Maafisa wa NACTVET wanafelisha vyuo vya kati, kuchelewesha kua-prove maombi yao ili wasipate AVN Number kwa wakati washindwe kwenda vyuo vikuu, lakini wanafanya hivyo ili kupewa rushwa ndiyo waweze ku-approve maombi yao, funaomba mtusaidie.
Kiulizeni Chuo cha St Joseph College, tawi la Morogoro hiyo shida ipo, sisi wanafunzi kila tukiwauliza walimu wanasema wameshatuma lakini NACTVET hawaa-prove mpaka wapate chochote, kilio chetu kisikike ili wapitishe tuende Digrii.