Kuna mabasi wamiliki wake hawatuangalii abiria

Kuna mabasi wamiliki wake hawatuangalii abiria

Nduna shujaa

Senior Member
Joined
Aug 14, 2022
Posts
163
Reaction score
134
Naanza na kampuni ya Superfeo ya mkoani Ruvuma ukiagiza pacel mfano bahasha tu unalipia sh. 5000 iwe ni barua, au kitu kinachoweza kukaa kwenye bahasha.

Na bei hizi zipo hata kabla mafuta hayajapanda bei. Mkurugenzi wa Feo tuangaliye tunahali ngumu fikiria kupunguza gharama walau iwe 3000.

Halafu sasa nije kwa bwana mmoja anaitwa Sabasi ana gari zinaenda mbinga,lituhi hadi njombe.Tatizo la huyu habebi mizigo ya kuagiza na hajaandaa utaratibu huo.

Mliyo jirani naye mwambieni anakosa hela nyingi hivyo aandae utaratibu wa kupokea na kutuma mizigo na kuikatia risiti mtu anaenda kupokelea ofisini.

Kama gari ndogo atafakari kuwa na gari kubwa yenye buti aache uswahili.
 
Jitahidi wakati mwingine mzigo uubebe mwenyewe kama hiyo bei ni kubwa.
 
Back
Top Bottom