Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Haya majinga kwenye pombe za mataputapu yamejazanaWanawasha na ving'ora , miuyuu miuyuu, ng'ori ng'ori
Mshahara haufiki 500k before tax bwanshee , lazima yarundikane hukoHaya majinga kwenye pombe za mataputapu yamejazana
Na wale viazi watumishi wa halmashauri na kaunda suti zao uchwaraMshahara haufiki 500k before tax bwanshee , lazima yarundikane huko
Wengi hawapo sawa maana wana hatarisha usalama wao na wa wengineWana maisha magumu sana , local bia zaidi ya tano lazima kichwa ifyatuke
Hao mbwa hawanaga akili kabisa , wanajiona serikali yote ipo mikononi mwao , ni zaidi ya takataka, waomba bia bar kmmke zaoWengi hawapo sawa maana wana hatarisha usalama wao na wa wengine
Wanawasha na ving'ora , miuyuu miuyuu, ng'ori ng'ori
Ni almost madereva wote wa Serikali, huwa wanahisi Barabara zipo kwa ajili yao na hawajali watumiaji wengine.Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani /traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
Hhhh jau sanaHao mbwa hawanaga akili kabisa , wanajiona serikali yote ipo mikononi mwao , ni zaidi ya takataka, waomba bia bar kmmke zao
Wanawahisha ma ofisa wakatimize majukumu yao ya kila sikuKuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
Umemalizia vzr sana hoja yakoNi almost madereva wote wa Serikali, huwa wanahisi Barabara zipo kwa ajili yao na hawajali watumiaji wengine.
Kwa sasa Tanzania ni Taifa la kambale, kila mmoja ana ndevu anajiamulia anavyoona inampendeza.
Ajali ndio kitu pekee huwa kinawatuliza fujo zao barabarani, tofauti na ajali hamna kitu kingine watasikiliza.
Watu zisipowafaa akili zao, utawadhuru Ujinga wao.
madereva wote wa serikali pamoja na wale wa vyombo vya ulinzi na usalama wapo rafu sanaKuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
Fafanua vizuri hapo kwenye bia kabla mlevi sijakupiga maweWana maisha magumu sana , local bia zaidi ya tano lazima kichwa ifyatuke
Madereva wa Serikali watungiwe sheria yao na tuache ROAD TRAFFICK ACT tuliyoridhi toka kwa wakoloni?Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
Mimi nawajua sana hawa jamaa,wewe unaendesha gari ukiwaza familia yako inayokutegemea,mwenzako anakupita na speed utafikiri anafukuzwa,mpaka unajiuliza hivi bosi yumo ndani au dereva yuko peke yake...Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
Wana maisha magumu sana , local bia zaidi ya tano lazima kichwa ifyatuke
Hao mbwa hawanaga akili kabisa , wanajiona serikali yote ipo mikononi mwao , ni zaidi ya takataka, waomba bia bar kmmke zao
Haya majinga kwenye pombe za mataputapu yamejazana
Bwashee una hasira nao sana.😀😀Na wale viazi watumishi wa halmashauri na kaunda suti zao uchwara