Kuna madhara gani ya wanaume kutumia picha za wadada warembo kupiga punyeto

Kuna madhara gani ya wanaume kutumia picha za wadada warembo kupiga punyeto

Nyeto inaathiri sana mishipa ya uume. Wanaopiga nyeto wajitahidi kupunguza au kuacha kabisa. Pia fanyeni sana mazoezi ya kutembea haraka umbali mrefu angalau 6km ili kuimarisha pelvic floor. Kwa mnaokimbia tengeni pia km kadhaa za kutembea.
 
Aaaaah. Madhara ya kwanza ni DHAMBI mkuu.

Madhara mengineyo heb Waje wazoef na wataalam wa tiba watufungue akili.
nani kasema kupiga nyeto dhambi? Mwili wako unajiharibu mwenyewe, dhambi inatoka wapi sasa? sawa kupiga nyeto sio kitu kizuri, lakini pia sio dhambi.

kama wanaokata gogo porini na kujisafisha kwa nyasi hawatendi dhambi, mnapata wapi kuwaita nduhu zetu wanaonyetoka kua ni wadhambi??????
 
Nyeto inaathiri sana mishipa ya uume. Wanaopiga nyeto wajitahidi kupunguza au kuacha kabisa. Pia fanyeni sana mazoezi ya kutembea haraka umbali mrefu angalau 6km ili kuimarisha pelvic floor. Kwa mnaokimbia tengeni pia km kadhaa za kutembea.
Kuna wengine wanadai nyeto ina imarisha misuli ya uume , wanadai ni kama kupiga push up, mimi naona ina athiri kisaikologia zaidi🤔
 
Fanya ufanyavyo Ila nyeto usipige ili siku ukipata mpenzi ufurahie sex
Sio kumtajirisha bakhresa na energy drink
 
Kwani pia kuna madhara gani mume wa mtu akitumia hizi picha kupiga puchu badala ya kuchepuka kama mkewe hana mvuto
 
Attachments

  • proxy-3.php.jpg
    proxy-3.php.jpg
    101.2 KB · Views: 42
  • proxy.php.jpg
    proxy.php.jpg
    82.5 KB · Views: 28
  • proxy-1.php.jpg
    proxy-1.php.jpg
    123.8 KB · Views: 28
  • proxy-2.php.jpg
    proxy-2.php.jpg
    118.9 KB · Views: 43
Badala ya picha, kwani unashindwa nini kutongoza hao wadada warembo uka date nao!?
Acha udomo zege, usiogole kutuma hizo risk text, huwa zinajibu
 
Nisifiche hii kitu niliipiga mno mkuu nipoacha sikuona tatizo lolote labda inategemea ntu na ntu 🤔
Kama hukuzaliwa na tatizo huwa haichukui muda mambo kukaa sawa. Mpiga nyeto akiacha anakuwa sawa ndani ya muda mfupi hata kama alishaanza kupata madhara.
 
Wanawake wenye high instict ukimpigia nyeto mara nyingi lazima atakuota, atakupenda sana na kuna possible kubwa atakuwa mpenz wako..kama mnafahamiana haipiti muda atakutafuta ,kama hamjawahi onana lazima mtakutana .Ila wengi penzi huwa halidumu kwa muda mrefu....imagination can take you everywhere
 
dronedrake akitia bidii atatafutwa na Jlo au Beyonce.
 
Back
Top Bottom