Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
Subiri wala usiwe na haraka chaputa watakuja kukujibu mkuu.
Jitizame wewe kwanza, toka uanze kujichua na hawa madada pichani unajisikiaje, je unadharau wanawake ukiwaona mtaani au unasikia kinyaa ukiduu nao live? Njoo utuletee mrejesho tafadhali.Ndugu zangu.
Katika jambo la kujimaliza , wanaume wengi wamekua wakitumia picha za warembo mbali mbali kujimaliza kwa kuwapigia punyeto huku wakiamini wameridhika kabisa.
Je, ni sababu zipi zinazopelekea hasa matumizi ya picha za warembo pindi mwanaume anapotaka kujimaliza ubongo wake na yapi madhara ya kutumia picha za watoto wazuri ili kupiga puchu?
Kwamba wewe hujawahi kulala na mwanamke mpaka ulipooa??Okay .. katika ukristo umeagizwa kuutunza mwili wako sabab ni hekalu la Bwana ... Hivyo MUNGU hulihitaji na au hulitia katika kazi zake hapa duniani .
Matharani hutumia mwili wako kutunza roho yako, hutumia mwili wako kuwalea wanao, wazazi na Wana jamii.
Jambo lolote lenye direct and vital disadvantages kwa mwili wako ni kukiuka Ile amri ya kulitunza hekalu la Bwana.
So unapovuta sigara, pombe, na unapofanya Kila linalo dhoofisha Hilo hekalu unakua unatenda makosa (DHAMBI)
Hata kuto kuvaa Sweta wakat wa bard ni DHAMBI pia... Unapaswa ujipende mkuu 🙏🙏
Umechangia Chama Kwanza?Ndio
Chama kipiUmechangia Chama Kwanza?
Kila kitu kina pande mbiliSwali langu ni dogo tu. Je punyeto ina madhara?
Naskia bao lake ni tamu sana haijawahi kutokea!Inaondoa kujiamini
Na inaharibu saikolojia, kuvuta picha unazagamua mpaka u ejaculate sio jambo dogo kiakili🤫
NdioNaskia bao lake ni tamu sana haijawahi kutokea!
Hawa maveterani ndo kama huyo kaka kwenye picha mjongeo?Kama Ina madhara basi karibu ya wanaume wote duniani tunaugua sidhani kama Kuna mwanaume hajawahi kujilipua SEMA Kuna plain,pro,promax na maveterani