Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Subiri kansa ya koo itakapokuanza ndiyo utaelewaWakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuh
Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa home tu.
mtoto alifika fresh nikampokea akalala kama masaa mawili hivi baadae akaamka bac tukaanza romance za hapa na pale mtoto akaitika baadae akanishika kichwa akanizamisha uvinza bac nikapiga deki la kutosha ila nilihisi radha tofauti mdomoni nikapotezea baada ya muda ikabidi niangalie nakuta kumbe dem kaingia period bila yeye mwenyewe kujua japo alishanitaadharisha before. But akujua kama inaweza kutokea leo.
Wakuu mimi kitu kinachoniuma hii issue nimekuja kuistukia tayari nimeshakunywa litre kadhaa za damu so .
Wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vp hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata. Nipo nasoma coment
Mkuu huu sio ushauri mzrSubiria kufwa tu,tusalimie kuzimu.
Mkuu em tuwe serious kidogo nahitaji kingaNaskia zinaongeza nguvu za kiume 😎
Niamini mm mkuuMkuu em tuwe serious kidogo nahitaji kinga
Mkuu c unajua tena kwa mtu ambae mmeshazoeana kidogo umakini unapungua na ndio mwanamke pekee ambae kanishawishi kufanya hivyoUnapiga deki huangalii mzee unahatari sana,
Kivipi mkuuMwana kulitafuta, mwana kulipata. Mwezi ujao ni zamu yako kuingia period na kitu kitatokea mdomoni.
usitushirikishe unatmbn vp wkt huu n mwezi wa kwaresma na mfungo pia we dini gani babu 🤣😬😅Wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vp hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata. Nipo nasoma coment
Ni hatua gani nichukue mzee maana ishu imetokea ghafla tuNiliwahi ambiwa na mtu fulani kuwa, hio blood ni hatari sana mkuu ukiila unaweza anza kukohoa mdogo mdogo hadi unaweza kata pumzi.
Daah mkuu niliwasha taa hafifuKwanini mnafanya tendo gizani? Mnaogopana? Pangekuwa na mwanga usingeshindwa kuona dalili…