Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

Wakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuh

Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa home tu.

Mtoto alifika fresh nikampokea akalala kama masaa mawili hivi baadae akaamka bac tukaanza romance za hapa na pale mtoto akaitika baadae akanishika kichwa akanizamisha uvinza bac nikapiga deki la kutosha ila nilihisi radha tofauti mdomoni nikapotezea baada ya muda ikabidi niangalie nakuta kumbe dem kaingia period bila yeye mwenyewe kujua japo alishanitaadharisha before. But akujua kama inaweza kutokea leo.

Wakuu mimi kitu kinachoniuma hii issue nimekuja kuistukia tayari nimeshakunywa litre kadhaa za damu so .
Wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vp hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata. Nipo nasoma coment
Na damu ya hedhi amekulisha lakon bado mtaachana. Mapenzi shenzy typu
 
Back
Top Bottom