Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

Ni hatua gani nichukue mzee maana ishu imetokea ghafla tu
Kuhusu dawa ya kutumia mimi sio mtaalamu mkuu, labda uwahi utafte hata vile vidonge vya antibacterial umeze then usepe hospital chapu.

Halafu mkuu huyo manzi hakupendi kabisa, manzi mwenye anajua reaction za acid na base zilizopo kwenye nyapu hawezi kukuruhusu kabisa upeleke mdomo wako pale.

Halafu wewe piah usijifanye bingwa sana wa kupiga deki utakuja kutana na MOUTH plus KOO EROSION hadi ujute. 🤔🤮
 
Daah sasa mkuu hospitali naenda kwa kesi gani je pia naweza nusurika na hizo athari au ukigusa ni lazima uugue
 
Wakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuhi.

Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa home tu.

Mtoto alifika fresh nikampokea akalala kama masaa mawili hivi baadae akaamka basi tukaanza romance za hapa na pale mtoto akaitika baadae akanishika kichwa akanizamisha uvinza basi nikapiga deki la kutosha ila nilihisi radha tofauti mdomoni nikapotezea baada ya muda ikabidi niangalie nakuta kumbe demu kaingia period bila yeye mwenyewe kujua japo alishanitaadharisha before. But akujua kama inaweza kutokea leo.

Wakuu mimi kitu kinachoniuma hii issue nimekuja kuistukia tayari nimeshakunywa litre kadhaa za damu.

So, wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vipi hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata.

Nipo nasoma comment.
serious ndio wapi kijana
 
Mkome kuzama chumvini vira angekunyea kabisa
 
Wengine watajadili kuhusu hayo madhara kama yapi, Mimi naomba kujua kitu kimoja. Hiyo bahati mbaya inakuwaje mpaka damu ya hedhi inaingia mdomoni?
 
Back
Top Bottom