Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

Daaah story za mtaan zina chekesha
Ile ni damu ya kawaida tuu cha msingi asiwe na magonjwa kama HIV hepatitis ila haina shidaa
Ni sawa mtu ajikate damu umwagikie kwake kama haumwi haina shida
Daah shukran mkuu maana hapa nishajaa upepo hatari
 
Wakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuhi.

Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa home tu.

Mtoto alifika fresh nikampokea akalala kama masaa mawili hivi baadae akaamka basi tukaanza romance za hapa na pale mtoto akaitika baadae akanishika kichwa akanizamisha uvinza basi nikapiga deki la kutosha ila nilihisi radha tofauti mdomoni nikapotezea baada ya muda ikabidi niangalie nakuta kumbe demu kaingia period bila yeye mwenyewe kujua japo alishanitaadharisha before. But akujua kama inaweza kutokea leo.

Wakuu mimi kitu kinachoniuma hii issue nimekuja kuistukia tayari nimeshakunywa litre kadhaa za damu.

So, wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vipi hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata.

Nipo nasoma comment.
Hivi Kuna mtu anaingia p hajui??
Kwasababu one thing about that issue unapoteza comfortability ...yaan unashindwa kuwa huru hta kabla hakijaanza ....alafu Huwa Ina harufu mnoo mpka unapeleka mdomo ulimi hukusikia harufu??
Wewe bhana tulia litakalokukuta likukute kujikuta wewe ndio umezaa ngono Wacha kikurambe tuu
 
Niamini mm mkuu
Screenshot_20250309_072547.jpg
 
Wakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuhi.

Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa home tu.

Mtoto alifika fresh nikampokea akalala kama masaa mawili hivi baadae akaamka basi tukaanza romance za hapa na pale mtoto akaitika baadae akanishika kichwa akanizamisha uvinza basi nikapiga deki la kutosha ila nilihisi radha tofauti mdomoni nikapotezea baada ya muda ikabidi niangalie nakuta kumbe demu kaingia period bila yeye mwenyewe kujua japo alishanitaadharisha before. But akujua kama inaweza kutokea leo.

Wakuu mimi kitu kinachoniuma hii issue nimekuja kuistukia tayari nimeshakunywa litre kadhaa za damu.

So, wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vipi hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata.

Nipo nasoma comment.
Na Damu ilivyo ya moto , kudadeki oyaaa uliweza himili kunywa Damu pamoja na harufu yake mbaya?
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom