Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

Kama wewe ni mwanamke madhara yake gharama za maisha zitakua juu kwa sababu hakuna mwanaume wa kukusaidia kulipa bill kwa reward ya mbususu

Kama ni mwanaume madhara ya haraka haraka siyaoni. Badala yake itakusaidia ku-focus kwenye mambo ya msingi. Mahusiano ni liability kwa mwanaume.

Kuna kipindi niliamua kukaa mwaka mzima bila kujihusisha na mahusiano, ni kipindi ambacho niliona kwa uhalisia jinsi mahusiano yanavyorudisha/kwamisha maendeleo ya mwanaume. Kuona vizuri mchezo unavyoenda kaa nje ya uwanja
 
Nani kakuambia et kutokua na mahusiano unaharibika kisaikolojia? Hii ya wap na nan kasema au nin kimfanye mtu aharibike kisaikolojia kisa mapenzi hell Nooooo
Naongea kama mtu niliyesoma psychology 3rd level

Wewe unabisha kwa facts zipi
 
sasa which is which? kuathirika nmeshaanza maana mtu akiniambia ananipenda naona anaongea upuuzi
Kila kitu kina faida Na hasara zake na kwa case yako ni bora uone mtu anakuambia upuuzi na baada ya muda uujue ukweli kuliko uamini kila unachoambiwa. Utapigwa matukio zaidi
 
Kama unataka/unaupwiro na huna access ya kuburudika, unaweza athirika ki-saikoligia, lakini kama umeamua hivyo kwa hiyari, there is no any bodly and mind consequences😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…