Kuna madhara yoyote kwa jinsia zote kukaa muda mrefu bila kugegedana?

Muda mrefu si ndo huo tangu nazaliwa mpaka natimiza miaka 25? Sasa hivi nimeoa, so kugegeda ni full time... Every day and night except zile siku ambazo mvua zinanyesha ndo tunaenda mapumzikoni... 🙄🙄🙄
Kumbe inawezekana kukaa muda mrefu
 
Nimekosoma mkuu..
All in all hii kitu siyo ya kuacha muda mrefu
 
Madhara yapo tena makubwa sana. nitaweka baadhi tu.
1. Kinga za mwili hupingua.- hii usababisha kuweza kyshambuliwa kirahisi ma magonjwa kama mafua N.k (jinsia zote mbili)
2. Kupungukiwa na Ufanisi;
A. Kwa wanaume uwezo wa dushee lako kufanya kazi utapungua (matokeo yake mnayajua) wenye lugha zao husema ' "'use it or loose it
B. Kwa wanawake huwa na maumivu sana wakiwa kwenye hedhi
3. Uwezo wa kufikiri hupungua
4. Kupatwa na maumivu kama vile mgongo n.k
5. Kukosa usingizi (hili linathibitishwa humuhumu)

Wengine wataongezea
 
Nimekusoma mkuu..
Kumbe Kuna faida nyingi za kugegedana
 
Cc:nichumu nibebike
 

Ndoivo babangu Baelezeeee Baelezeeee bakuelewe.. .

Mahondaw wa Smart911
 
Hamna madhara ila cha moto utakiona
Madhara yapo.... Jinsia yoyote ikikaa muda mrefu bila mgegedo kuna hatari ya kuwa mentally unfit.
1.Kwa ajili ya afya ya mwili mwanadamu anahitaji chakula na mazoezi
2.Kwa ajili ya afya ya akili mwanadamu anahitaji usingizi wa kutosha na mgegedo
NB:kuna baadhi ya nchi mtu akithibitishwa (akikiri) kwamba hajapata mgegedo kwa muda zaidi ya miezi sita haruhusiwi kutoa ushahidi mahakamani akiaminiwa kwamba hana akili sawasawa.
Tahadhari : Shikamana na njia kuu.. Michepuko noooooma.

HAKUNA MADHARA YOYOTE
 
aseeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…