Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini ambacho hakieleweki? Tuanzie hapo KwanzaWana JamiiForums hope mko poa kabisa
Naomba kuuliza hili maana linanitesa sana. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nimemlipia mahari na nikamvalisha pete.
Ila mimi baada ya kuona haeleweki nikampotezea. Swali ni kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete ya uchumba.
Nimeandika kama kosa ni lako, lakini, kama yeye ndiye mwenye makosa huna hatia.
Elewa nilichokiandika mkuu.
Kwa context yako naamini unaamini mambo ya kiroho zaidi. Kwanza omba uvunje huo muungano wenu tayari halafu tuma mshenga aende huko akadai mahari irudishwe hata kama hawatarudisha yote watoe fedha kidogo ili kuvunja huo muungano uliokwisha kufanyika. Kiroho inaweza kukuzuia usioe au ukioa usidumu na mwenza wako maana unakua unamilikiwa na mtu mwingine tayari.Wana JamiiForums hope mko poa kabisa
Naomba kuuliza hili maana linanitesa sana. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nimemlipia mahari na nikamvalisha pete.
Ila mimi baada ya kuona haeleweki nikampotezea. Swali ni kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete ya uchumba.
Mpumbavu sana huyo kijana basi...Huyu ni msumbufu, muacheni msipomjibu ataondoka mwenyewe. Ndiyo mtu anayemiliki ID's nyingi JF. Nyingi zimepigwa Ban na kila leo anaanzisha mpya. Huyu ndiyo yule huwa anadislike kila comment. Kipensili huyu...
Hapana mahari nmesamehe piaKiongozi ukiwa na shida ya kudai mahari uje pm....nina kundi nalijua kwa kudai nitakuunganisha nalo
Sio kwa ubaya