Kuna madhara yoyote ya kuweka "Neutral Gear" kwenye magari Automatic?

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Habari

Wajuzi ni wengi humu hivyo naomba tuhabarishane
1. Je, kuna madhara yeyote yataweza kuikumbuka Gear Box ama Engine kwa ujumla kama ukiwa unaweka "N"/Neutral Gear wakati unaendesha sehemu yenye mteremko?

2. Je kuna uhalisia wa kusave mafuta kwa kuweka Neutral Gear? Na kama kweli inasaidia je ni kiasi gani cha mafuta hupunguzwa wakati wa gari ikiwa kwenye gear hiyo?

Ahsanteni.
 
Mi huwa napenda sana kuweka neutral kwenye miteremko au gari inapokua imechanganya vya kutosha ili kuokoa mafuta, kuweka neutral ni sawa na kuweka 'free' kwenye manual, sidhani kama ina madhara. Ila madhara yatakuja kama utarudisha kwenye D katika mizunguko ya engine isiyo sahihi, maana gari itashtuka sana na unaweza ukavunja jino, ila ukii-master unaweza ukairudisha 'D' seamlessly bila madhara
 
Mi huwa napenda sana kuweka neutral kwenye miteremko au gari inapokua imechanganya vya kutosha ili kuokoa mafuta, kuweka neutral ni sawa na kuweka 'free' kwenye manual, sidhani kama ina madhara
Wacha wajuzi watujuze.. huwenda yapo.
 
Labda utueleze neutral gear imetengenezwa kutumika Muda gari? Wakati unarudi nyuma, mlimani au miteremko?

Kuhusu mafuta, obviously neutral gear itapunguza demand ya mafuta kwa kuwa mgandamizo ni mdogo
 
Swali zuri sana, maana ukisema usiitumie kwenye mteremko sasa sijui utaitumia wapi tena..
 
Ila neutral duuh, naiogopaaa maana unaweza kuweka ukatembeaaa saa ya kurudisha ukapiga mpaka kwnye "P" ikala kwako. NB: ishamtokeaga mtu nnaemjua vizuri kabsa alidondoka na gari lake.
Neutral na 'P' zimewekwa mbali, na kwa Toyota cars kuna corner sana kwenye ile shift layout, hiyo ni ngumu sana kutokea, ila ukajitusu kuiweka P kwenye speed ndio bye bye, ni bora hata ukaweka reverse maana 'toque converter' ya gear box ita-absorb ile shock yote, lakini kama 'P' ikaingia hiyo ni kwamba kile kichuma kitakatika au utapinduka!
 
Gari ikiwa kwenye Neutral itapunguza tu ulaji wa Mafuta sababu mwendo wa gari kwa wakati huo utategemea msukumo uliokuwemo wakati gari iko kwenye D
 
Sio sahh kuweka neutral unaposhuka kilima unapoweka neutral mana yake gari inakua free kila tairi linajiendea kivyake tu so uwezekano wa kupoteza muelekeo unakua mkubwa
hiyo ni itakuwa ni uzembe wako mwenyewe, lakini kuhusu usalama wa gearbox hakuna shida
 
Kitaalam haishauriwi kutumia neutral gear gari linapokuwa kwenye mwendo ...tumia neutral unapokuwa uko kwenye silence au uko kwenye foleni na umesimama... Juu ya ulaji wa mafuta ni kuwa factors zinazo determine ni kiasi gani cha mafuta kiende ndani ya cylinders si gari liko kwenye gear gani tu bali zipo sensors nyingi ambazo hupeleka habari kwenye Electronic Control Unit (ECU -ubongo) wa engine ili kujua ni kiasi gani cha mafuta kiende kwenye cylinder, japo na gear gani ni mojawapo!! Baadhi ya Sensors hizo ni: crankshaft sensor, knock sensor, temperature sensor. Lambda sensor load/ throtle sensor nk ... Hivyo kuweka neutral siyo kutazuia mafuta yasiende kwenye cylinder kwani sensors zingine zitahitaji mafuta kama kawaida. By teacher
 
Sasa gear ndio biggest factor, na hizo sensor zote zina react to which gear umeweka, ukiwa kwenye mteremko mkali na uko speed unaweza kuta ukiwa 'D' na umeachia kabisa pedal ya mafuta engine RPM zinasoma lets say 3500 na speed ni 50kph, ila ukiweka tu neutral utakuta RPM zinashuka hadi 650, na speed.inapanda hadi 70kph, hapo lazima uokoe mafuta, hii ni from my daily experience, sio theory. Labda utuambie ni kwanini haishauriwi kitaalam kuweka neutral. Pia umetudanganya kwamba kuna sensors zingine zinahitaji mafuta, sensors hutumia umeme.
 
Wacha wenye meno wasuguane mpaka tupate Jibu.
1.Hata mm hapo kwnye Sensa kutumia Mafuta badala ya umeme sikumuelewa huyu Bandugu.
2.Nadhani kinachodertermine ulaji wa mafuta ni uchomaji wa mafuta kupitia Nosel kwnye plug na hii inatokana na kuminya acellerater ambapo Utupwaji wa mafuta ya Pressing ya acellerater inaonekana kwenye RPM... kama RPM ipo low Basi mafuta pia hutupwa kidogo.
Maana yake Basi Netraul hupelekea RPM kua Chini na matokeo yake mafuta kutumika kidogo. (Akili zangu binafsi/bila mwalimu).
 
Sasa gear ndio biggest factor, na hizo sensor zote zina react to which gear umeweka, ukiwa kwenye mteremko mkali na uko speed unaweza kuta ukiwa 'D' na umeachia kabisa pedal ya mafuta engine RPM zinasoma lets say 3500 na speed ni 50kph, ila ukiweka tu neutral utakuta RPM zinashuka hadi 650, na speed.inapanda hadi 70kph, hapo lazima uokoe mafuta, hii ni from my daily experience, sio theory. Labda utuambie ni kwanini haishauriwi kitaalam kuweka neutral. Pia umetudanganya kwamba kuna sensors zingine zinahitaji mafuta, sensors hutumia umeme.

Mkuu ukifanya estimations unasave fuel kiasi gani?
 
haina shida ila sasa ukiweka uwe na kumbukumbu nzuri usije ukajisahau ukapeleka kwenye "P" mzee baba yatakua mengine
 
La msingi ni hili tu, asije akapitiliza kwenye P, ila kwa modern layout hasa za Toyota ni ngumu sana, maana ile shift layout imewekwa kona kona kiasi huwezi kupitiliza
 
Kitaalam haishauriwi kutumia neutral gear gari linapokuwa kwenye mwendo ...tumia neutral unapokuwa uko kwenye silence au uko kwenye foleni na umesimama... Juu ya ulaji wa mafuta ni kuwa factors zinazo determine ni kiasi gani cha mafuta kiende ndani ya cylinders si gari liko kwenye gear gani tu bali zipo sensors nyingi ambazo hupeleka habari kwenye Electronic Control Unit (ECU -ubongo) wa engine ili kujua ni kiasi gani cha mafuta kiende kwenye cylinder, japo na gear gani ni mojawapo!! Baadhi ya Sensors hizo ni: crankshaft sensor, knock sensor, temperature sensor. Lambda sensor load/ throtle sensor nk ... Hivyo kuweka neutral siyo kutazuia mafuta yasiende kwenye cylinder kwani sensors zingine zitahitaji mafuta kama kawaida. By teacher
Naam, ukiweka neutral gari inakuwa unstable/unbalanced. Hautakiwi kudisconnect the flywheel from the drivetrain any time the car is in motion kwa gari yoyote (manual/auto) hata pikipiki.
 
Habari

Wajuzi ni wengi humu hivyo naomba tuhabarishane
1. Je, kuna madhara yeyote yataweza kuikumbuka Gear Box ama Engine kwa ujumla kama ukiwa unaweka "N"/Neutral Gear wakati unaendesha sehemu yenye mteremko?

2. Je kuna uhalisia wa kusave mafuta kwa kuweka Neutral Gear? Na kama kweli inasaidia je ni kiasi gani cha mafuta hupunguzwa wakati wa gari ikiwa kwenye gear hiyo?

Ahsanteni.

NDIOA, KWA SABABU NI WAKATI WA KUDRIVE WEWE UMEWEKA NEUTRAL
 
Sasa gear ndio biggest factor, na hizo sensor zote zina react to which gear umeweka, ukiwa kwenye mteremko mkali na uko speed unaweza kuta ukiwa 'D' na umeachia kabisa pedal ya mafuta engine RPM zinasoma lets say 3500 na speed ni 50kph, ila ukiweka tu neutral utakuta RPM zinashuka hadi 650, na speed.inapanda hadi 70kph, hapo lazima uokoe mafuta, hii ni from my daily experience, sio theory. Labda utuambie ni kwanini haishauriwi kitaalam kuweka neutral. Pia umetudanganya kwamba kuna sensors zingine zinahitaji mafuta, sensors hutumia umeme.
Kumbuka drivetrain speed ina influence engine speed. Modern cars ukiwa kwenye gear na unashuka mlima ECU inakata fuel automatically kwahiyo hata kama RPM ziko juu mafuta hayatumiki.
 
Back
Top Bottom