Kuna madhara yoyote ya kuweka "Neutral Gear" kwenye magari Automatic?

Kuna madhara yoyote ya kuweka "Neutral Gear" kwenye magari Automatic?

Ila neutral duuh, naiogopaaa maana unaweza kuweka ukatembeaaa saa ya kurudisha ukapiga mpaka kwnye "P" ikala kwako. NB: ishamtokeaga mtu nnaemjua vizuri kabsa alidondoka na gari lake.
Ishanitokea mimi mwenyewe hii, ila sikuua gari ilisimama tu nlikuwa speed ya 60
 
Ni hivi gearbox ya auto hufanya shifting kwa kuzingatia pressure ya oil kwenye gearbox, ambayo presha hutengenezwa nanaccerelation ya gari inayotoka kwenye matairi yanapozunguka. So unapoweka neutural unatenganisha engine na gearbox hivo engine inabaki iddle huku speed inakuwa kubwa. Na engine ikibakia iddle maana yake geabox nayo inazunguka kufuata mizunguko ya engine hivyo ukiweka kwe nye D wakati gari ina speed. 60+ basi utailazimisha gari itoke no1 hadi 3 kwa lazima coz pressure inakuwa ndogo kwenye oilm labda ukitaka kurudi D basi piga breki gari isimame kabisa halafu ndo uweke D uendelee na safari. Vinginevyo una shorten maisha ya gearbox yako
 
Hapa ndo mnanichanganya kabisa, hiv unatokaje N unavuka R mpaka P??

Hata kwa shift layout ambayo ni flat?

Nadhan ni uzembe wa kiwango cha degree
inatokea sana mkuu...kuna watu kadhaa imewatokea hivo!! kuna ile kitu wanaita " human error" sometime shits happen!!
 
Vema
Na kwa kuongezea tu unapoweka neutral gari ikiwa mwenye mwendo unahatarisha uhai wa engine,
Maana gari ikiwa neutral oil haipandi kama inavyotakiwa hivyo kusababisha msuguano wa vipuli,
Hata mafuta utakayo save yanaweza kuwa ya mia tatu au ikawa ya tshs 5,
Hapo ni sawa na wanaofungua vioo kukwepa kuwasha ac kwa kisingizio cha Ku save mafuta kwenye safari ndefu ni kujidanganya na kuongeza cost
Kwahiyo waliotengeneza N waliitengeneza ili ukiiweka oil isipande vizuri na engine ife, si ndio eeh?
 
Kuna jamaa alitupia neutral katika mteremko gari ikazima na kupelekea kubamiza mti. Wanashauri pia km silencer ya gari haipo poa usithubutu.
Sasa gari kuwa neutral kuna uhusiano gani na gari kubamiza mtini..., ungeniambia brake zilifeli sawa
 
Gari umeshaambiwa inakula lt1 kwa km10 mfano sasa we ukiweka neitral au usiweke consuption iko palepale.kuna watu wanaamin kwamba AC inakula mafuta.AC inawezekana inakula mafuta lakini si zaidi ya kuendesha gari vioo viko wazi!vioo vikiwa wazi upepo unakusukuma nyuma na we unaongeza mafuta kwenda mbele hapo ulaji utaongezeka sana tu
Gari unapoambiwa inakula lita 1 kwa kilomita 10 ni at a given average speed, kwahiyo uki-cover 10km in 1 hr mafuta utakayokula si sawa na uki-cover 10km in 10minutes, the faster you cover the same distance the more fuel utatumia, directly proportional. Ukitaka kuamini, travel from point A to B kwa idling speed, bila kukanyaga mafuta, then travel from point A-B at maximum speed kwa kukanyaga mafuta hadi mwisho; utagundua covering the same distance unaweza ukatumia twice the fuel. Hii fact ita-make sense ukielewa kwamba time is a physical factor, just as length and mass. (Length - mass - time), measurements zote zinaweza kuwa broken to hizo fundamentals
 
Ila ukisoma manual book zao watengenezaji wa hayo magari na vyombo vingine vya moto, hawashauri kuweka free kwenye miteremko, bali namba moja.
Kwa automatic nadhani ni bora uweke D na uache computer ichague yenyewe gear ya kuweka, unless otherwise unataka kutumia neutral
 
Neutral na 'P' zimewekwa mbali, na kwa Toyota cars kuna corner sana kwenye ile shift layout, hiyo ni ngumu sana kutokea, ila ukajitusu kuiweka P kwenye speed ndio bye bye, ni bora hata ukaweka reverse maana 'toque converter' ya gear box ita-absorb ile shock yote, lakini kama 'P' ikaingia hiyo ni kwamba kile kichuma kitakatika au utapinduka!
Mkuu kwa gari automatic za kisasa gari ikishakuwa kuwa mwendo wa kwenda Mbele ukiweka gear ya parking au reverse kamwe haiwez kuengauge. Utaskia tuu mlio kwamba disc lock zinatema tuu
 
Ni hatari sana kuweka N gear kwenye mwendo kwanza inapunguza differential ya matairi ( mzunguko) hivyo gari hukosa uwiano.
Pili ukiweka N from D gari ikiwa imechanganya unapunguza gear compression ratio kwenye gear box so kufanya Mara nyingi unapunguza life span ya gear box
 
Kwahiyo waliotengeneza N waliitengeneza ili ukiiweka oil isipande vizuri na engine ife, si ndio eeh?
Nikuulize swali dogo tu gari ikizima barabarani ili kuiondoa kwa kusukuma au kuivuta unaweka nini?inawezekana hata mpangilio wa gear huujui
 
Mkuu kwa gari automatic za kisasa gari ikishakuwa kuwa mwendo wa kwenda Mbele ukiweka gear ya parking au reverse kamwe haiwez kuengauge. Utaskia tuu mlio kwamba disc lock zinatema tuu
Then hiyo feature ni nzuri sana, natumai gari zote zina hiyo safety feature
 
Nikuulize swali dogo tu gari ikizima barabarani ili kuiondoa kwa kusukuma au kuivuta unaweka nini?inawezekana hata mpangilio wa gear huujui
Hivyo unatuambia N ni kwa ajili ya kutumia gari ikiwa imezimwa tu, if so basi poa. Sasa Neutral gear kusababisha low oil pressure na kuua engine kuna uhusiano gani na mimi kujua mpangilio wa gear? Be logical
 
Kumbuka drivetrain speed ina influence engine speed. Modern cars ukiwa kwenye gear na unashuka mlima ECU inakata fuel automatically kwahiyo hata kama RPM ziko juu mafuta hayatumiki.
Ndugu weka vizuri statement.
Ni kwamba ukiwa unshuka mlima hata kama umekanyaga mafuta ECU inakata Automatic una uhakika?
 
Hivyo unatuambia N ni kwa ajili ya kutumia gari ikiwa imezimwa tu, if so basi poa. Sasa Neutral gear kusababisha low oil pressure na kuua engine kuna uhusiano gani na mimi kujua mpangilio wa gear? Be logical
Mkuu tuishie hapo tulikuwa tunaeleweshana tu,poa
 
Ni hatari sana, chuma ikiwa free kwenye mteremko ikawa imekubali vizuri mwendo, huwa hakunaga dharula sio kusimama wala kukwepa kitu! Tena tabia hiyo kama umejaribu ishia hukohuko kwenye vichwa vya kuku ila usithubutu kwenye gari zenye system za upepo haswa kwenye breaks na gear hiyo ndio itakua mwisho wako
 
Habari

Wajuzi ni wengi humu hivyo naomba tuhabarishane
1. Je, kuna madhara yeyote yataweza kuikumbuka Gear Box ama Engine kwa ujumla kama ukiwa unaweka "N"/Neutral Gear wakati unaendesha sehemu yenye mteremko?

2. Je kuna uhalisia wa kusave mafuta kwa kuweka Neutral Gear? Na kama kweli inasaidia je ni kiasi gani cha mafuta hupunguzwa wakati wa gari ikiwa kwenye gear hiyo?

Ahsanteni.
Kimsingi ukiweka neutral utatumia mafuta kidogo kwa sababu injini itakuwa haina mzigo....ila kwenye user manual ya Nissan yangu Ametoa onyo Kali huu ya matumizi ya neural hasa kwenye auto cars kwamba unaweza kuua gear box....sasa sijui kwa hao wenye Toyota zao
 
Back
Top Bottom