Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.

Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
 
Mariìiijooʻoo...kwinshaa hahari yake huyooii....
 
Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.

Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
utulivu wa akili unaongeza mawazo mazuri ya utafutaji na kupanga mikakati ya kutimiza majukumu.
 
Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.

Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
Natural is real
 
Kupenda Kelele ni dalili za umasikini

Angalia hata restaurant za matajiri na mighahawa yao.

Angalia sehemu matajiri uangalia mpira na vibanda umiza

Pesa,majukumu, na kelele ni mbali mbali .

Pesa uitaji mahesabu na tafakuri kila jioni au asubuhi mipango uwekwa kwenye utulivu
 
Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.

Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
Kuna wale watu wazima ambao wanapenda hizo kelele nao wapo kwenye kundi gani
 
Sidhani kama ni sababu ya umri, labda ni asili fulani ya wanaume inayo kick in kwenye umri tofauti. Nilianza kutoroka Shule tangu Chekechea nikiwa na miaka 5, yote sababu sikuwa napenda kusikia kelele za darasani. Hata sasa ukubwani napendelea kukaa penye utulivu pasipokuwa na kelele, actually alone.
 
Back
Top Bottom