Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.

Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
Ina maana mi ndo nishazeeka ama!
Maana yote hayo ndio yananipata sasa, tena mi kuna saa natamini niwe peke yangu njiani nisikutane na mtu.
 
Sio wanaume tu...hata sisi wanawake umri ukisogea hatutaki. Kifupi uzee na kelele havikai kwenye chumba kimoja
 
Back
Top Bottom