mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Mariìiijooʻoo...kwinshaa hahari yake huyooii....Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.
Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
utulivu wa akili unaongeza mawazo mazuri ya utafutaji na kupanga mikakati ya kutimiza majukumu.Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.
Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
Uje kunisimuliaNasubiri kusoma
Natural is realMoja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.
Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
Bila hela siweziUje kunisimulia
Huwezi niniBila hela siwezi
Kuna wale watu wazima ambao wanapenda hizo kelele nao wapo kwenye kundi ganiMoja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.
Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi kelele na purukushani, nini hutokea kwenye akili ya mwanaume
Sawa ngoja nichukue notesUje kunisimulia