Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?

Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?

Habari wana jf

Naomba niwashirikishe ndoto yangu

Nikiwa chuo mwaka wa pili semister ya kwanza tulikuwa katika chumba cha mtihani mchana,tulikuwa tunafanya Financial Accounting kiukweli yale maswali nilikuwa nayafahamu ajabu wakati naanza kufanya ule mtihani ilinitokea hali ya tofauti,nilifanikiwa kufanya swali moja tena ilikuwa ni nusu tu swali na nikashangaa masaa 3 yameisha bila kumaliza maswali ya mtihani.Wakati natafakari cha kuandika nilishtuka hali ya kujisikia kufika kileleni kama vile nilikuwa nafanya mapenzi ili hali nimekaa kwenye kili tena chumba cha mtihani.Nilifanikiwa kupata supplimentary na Mungu alisaidia nikaclear.

Tokea hapo nimekuwa nikiota nafanya mtihani ila mtihani wenyewe unakuwa ni mgumu kupita maelezo na huwa sifanikiwa kujibu swali hata moja,halafu nashtuka najisikia kama nilikuwa nafanya mapenzi basi nachukia najikagua kama nimechafuka lakini hamna kitu.

Hii ndoto imekuwa ikinisumbua sana mambo ya kufanya mtihani ndotono kwa kweli sipendi

Je hii ndoto ina mahusiano gani na maisha ya kawaida kwa wale wanaofahamu
Wewe una Jini Mahaba ndilo linalo kusumbuwa mpaka kukuharibia Mitihani yako ya shule hutoweza kuowa au kuolewa . Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji huduma zangu bonyeza hapa.Mawasiliano




Dalili ya mtu mwenye jini mahaba na pepo mchafu hizi hapa chini.

1.kuna kujitambua kuwa una majini kwa njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya ndoto na ya dhahiri.


2.dalili za dhahili.

a.kizunguzungu.


b.vitu kutembea tumboni.


c.vicheza mwilini.3


d.kichwa kuuma mara kwa mara.


e.kuhisi mtu anatembea nyuma yako.


f.kupiga mihayo sana.


g.macho kukosa aibu.


h.hasira za mara kwa mara.


i.kupoteza kumbukumbu.


j.ugomvi wa mara kwa mara.


k.maradhi ya kujibadilisha badilisha.


l.kuhisi baridi mara kwa mara.


m.kutojisikia kuongea hasa wakati unapossemeshwa na mtu unaona kama


anakusumbua.


n.masiko kupiga kelele.


o. Kuhisi vitu vinaongea masikioni.


p.kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.


q.kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.


r.matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.


s.kufungika kwa kizazi.


t kustuka stuka


u.moyo kuongoka sawa na mtu mwenye presha.


v.kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini.


w.kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.


x.kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza.


y. Kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.


z.kuhisi manukato au harufu mbaya.


aa.kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.


bb.mimba kupotelea tumboni.


cc. Kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.


dd.kifafa.


ee.kichaa.


ff.pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa


tendo la ndoa.



3.dalili katika ndoto.

a.ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.


b.ndoto za kuota unajifungua.


c. Kuota unapigwa.


d.ndoto za kuogelea.


e. Ndoto za kupaa.


f.ndoto za kuota umepandishiwa jini.


g. Ndoto za kuota umeoa au umeolewa.


h.kuota umevalishwa pete au mkufu.


i.kuota unapigana.


j.kuota unapiga kelele.


k.kuota moto mkubwa.


l. Kuota unazika.


m.kuota umekufa.


n.kuota unafukua kabuli.


o.kuota sherehe mara kwa mara.


p.kuota unaongea na watu waliokufa.


z.kuota unaona visuguu.


aa.kuota unaona mafuvu wa watu.


bb.kuota unapiga ramli.


cc.kuota unavaa bangili au shanga.


dd.kuota watu wanachunga ng,ombe.


ee.kuota watu wamevaa nguo nyeupe..


ff.kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo ,ng,ombe


na kitambaa cheupe.


gg.kuota vijumba vya mizimu.


hh.kuota vibuyu.


ii.kuota unakunywa au unanyeshwa damu.


kk.kuota watu wamevaa kanzu .


hizi ni dalili za majini kwa njia za ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa


kwa ufupi .na pia namuomba mwenyezi mungu aendelee kunipa fahamu ili niendelee


kuwaelimisha na kuwafundisha mambo mengi ya kuwatambua majini kwa njia za


njozi pia kwa njia za dhahili.watu wengi wanasumbuka na mashetani ,mizimu,majini,


maiti lakini hawajitambui sasa nahitaji kuwapa elimu ili muweze kufaidika nazo.


na pia nawafundisha dawa kwa ajili ya huduma ya kwanza.asante yenu


itanisababisha kazi yangu kusonga mbele hii ni moja ya sadaka.


kwa sasa majini ndio wanaongoza kwa kuwatesa watu ,na kuwatia nuksi,nakuwafilisi ,pia na kuvunja ndoa za watu.

MATIBABU Wasiliana

Ukihitaji huduma zangu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Mie huwa mara nyingi naota nadumbukia kwenye shimo kubwa sana, ndani kuna nafasi na sifiki chini.
 
MziziMkavu kwa zaidi ya 80% uliyoyasema kwangu yapo yaani nina hasira za ajabu mtu anaweza kuniongelesha nisimjibu huku nikimtizama kwa jicho baya lakini baadae najiuliza kwanini nimefanya hivi,najuta tu moyoni

Ila sasa umenitisha picha yajini
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu kwa zaidi ya 80% uliyoyasema kwangu yapo yaani nina hasira za ajabu mtu anaweza kuniongelesha nisimjibu huku nikimtizama kwa jicho baya lakini baadae najiuliza kwanini nimefanya hivi,najuta tu moyoni

Ila sasa umenitisha picha yajini
Usiogope hiyo ni Picha feki ya Jini Mahaba Sucubi hiyo kwa jina sio picha ya ukweli kamagetac
 
Mara nyingi huwa naota ndoto za ainA tatu 1:NAOTA niko shule darasan nasoma ama niko mstarin ktk gwaride...2:NAOTA nawaona ng'ombe wakiswaga kuamia sehemu nyingine alafu kwa mbali nawaona watu weupe(albino/mzungu)wametulia sehemu...3:NAOTA niko saloon nawanyoa watu mitindo tofauti tofauti wanaifurahia (hi ndo naota mara nyingi) NINI MAANA WAJUZ WA MAMBO HAYA PLZZZ MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi huwa naota ndoto za ainA tatu 1:NAOTA niko shule darasan nasoma ama niko mstarin ktk gwaride...2:NAOTA nawaona ng'ombe wakiswaga kuamia sehemu nyingine alafu kwa mbali nawaona watu weupe(albino/mzungu)wametulia sehemu...3:NAOTA niko saloon nawanyoa watu mitindo tofauti tofauti wanaifurahia (hi ndo naota mara nyingi) NINI MAANA WAJUZ WA MAMBO HAYA PLZZZ MziziMkavu
Inategemea hizo ndoto unaota saangapi usiku? ziko ndoto zingine ni za kawaida na zipo ndoto nyinmgine zina maana yake.
 
Mara nyingi naziota mida ya saa9 na saa 10 usiku MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Inategemea hizo ndoto unaota saangapi usiku? ziko ndoto zingine ni za kawaida na zipo ndoto nyinmgine zina maana yake.

Mimi nilishaota kuwa nimeenda mahali na baiskeli ambapo sijawahi kufika, muda wa kurudi nikamgonga mbuzi nikaanguka lakini sikuumia. Chaajabu kukakucha, jioni ya ile siku yale yote niliyoota yakatukia yote niliyoota usiku.
Pale nilipoenda sikuwahi kufika na ndio nilipaona usiku kwenye ndoto, njia ni ileile niliyoiona usiku kwenye ndoto, mazingira yote niliyaona live.
Wakati wa kurudi nikamgonga mbuzi yuleyule niliyemuona kwenye ndoto. Nikaanguka vibaya sana lakini sikuumia kama ulivyokuwa ndotoni.

Sasa Mr MziziMkavu hii imekaaje?
 
Last edited by a moderator:
Ni ndoto ambayo sintasahau sijui kwa nin

Ni matokeo yangu ya kidato cha sita

Usiku mmoja nliota ndoto matokeo yametoka na nikaona daraja nililopata na point kadhaa ndotoni nikashtuka usingizini na jasho kama nimenyeshewa na mvua

Ndoto ilinitesa sana na baada ya week tatu mbele matokeo yalitoka nikiwa na daraja lile lile na point zile zile

Sijui mpaka leo ni nini kile hua sitaki kuamini na siamini ndoto ni maisha yetu ila ile sijui ni nin kilitokea huu ni ukwel mtupu
 
Hii ndoto inanisumbua kweli, imeshajirudia rudia mpaka nashindwa kuelewa ni nini....

Naota mafuriko afu eneo lile lile, wakati mwingine yananichukua lakini ghafla yanakauka. Wakati mwingine nakimbia hayanikuti, wakati mwingine nahangaika lakini nafanikiwa kutoka katika hayo mafuriko.
 
Back
Top Bottom