asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Sawa amejielezea eksipiriensi yake vizuri , lakini Mimi nataka mtu ambaye nikimuelezea kuhusu ndoto yangu awe na uwezo wa kunipa maana.Ebu soma comment ya Clueless14
inaweza saidia
Mkuu inaweza ikawa ni kweli
piga sana kitabu (msuli nondo) ili ukiota tena ujibu yoote
Wewe una Jini Mahaba ndilo linalo kusumbuwa mpaka kukuharibia Mitihani yako ya shule hutoweza kuowa au kuolewa . Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji huduma zangu bonyeza hapa.MawasilianoHabari wana jf
Naomba niwashirikishe ndoto yangu
Nikiwa chuo mwaka wa pili semister ya kwanza tulikuwa katika chumba cha mtihani mchana,tulikuwa tunafanya Financial Accounting kiukweli yale maswali nilikuwa nayafahamu ajabu wakati naanza kufanya ule mtihani ilinitokea hali ya tofauti,nilifanikiwa kufanya swali moja tena ilikuwa ni nusu tu swali na nikashangaa masaa 3 yameisha bila kumaliza maswali ya mtihani.Wakati natafakari cha kuandika nilishtuka hali ya kujisikia kufika kileleni kama vile nilikuwa nafanya mapenzi ili hali nimekaa kwenye kili tena chumba cha mtihani.Nilifanikiwa kupata supplimentary na Mungu alisaidia nikaclear.
Tokea hapo nimekuwa nikiota nafanya mtihani ila mtihani wenyewe unakuwa ni mgumu kupita maelezo na huwa sifanikiwa kujibu swali hata moja,halafu nashtuka najisikia kama nilikuwa nafanya mapenzi basi nachukia najikagua kama nimechafuka lakini hamna kitu.
Hii ndoto imekuwa ikinisumbua sana mambo ya kufanya mtihani ndotono kwa kweli sipendi
Je hii ndoto ina mahusiano gani na maisha ya kawaida kwa wale wanaofahamu
Ni dalili mambo yako unayaoyataka katika maisha yana mikwamo mikwamo. Bibie kipenzi Madame BMie huwa mara nyingi naota nadumbukia kwenye shimo kubwa sana, ndani kuna nafasi na sifiki chini.
Usiogope hiyo ni Picha feki ya Jini Mahaba Sucubi hiyo kwa jina sio picha ya ukweli kamagetacMziziMkavu kwa zaidi ya 80% uliyoyasema kwangu yapo yaani nina hasira za ajabu mtu anaweza kuniongelesha nisimjibu huku nikimtizama kwa jicho baya lakini baadae najiuliza kwanini nimefanya hivi,najuta tu moyoni
Ila sasa umenitisha picha yajini
Ni dalili mambo yako unayaoyataka katika maisha yana mikwamo mikwamo. Bibie kipenzi Madame B
Haya nitarudi bibie Madame BMpenzi MziziMkavu ufanye kurudi, upweke umenichosha laazizi.
Inategemea hizo ndoto unaota saangapi usiku? ziko ndoto zingine ni za kawaida na zipo ndoto nyinmgine zina maana yake.Mara nyingi huwa naota ndoto za ainA tatu 1:NAOTA niko shule darasan nasoma ama niko mstarin ktk gwaride...2:NAOTA nawaona ng'ombe wakiswaga kuamia sehemu nyingine alafu kwa mbali nawaona watu weupe(albino/mzungu)wametulia sehemu...3:NAOTA niko saloon nawanyoa watu mitindo tofauti tofauti wanaifurahia (hi ndo naota mara nyingi) NINI MAANA WAJUZ WA MAMBO HAYA PLZZZ MziziMkavu
Inategemea hizo ndoto unaota saangapi usiku? ziko ndoto zingine ni za kawaida na zipo ndoto nyinmgine zina maana yake.