poleIle ni reaction tu ya ubongo kwa matukio tunayopitia pamoja na kumbukumbu halafu tofautisha kuota ndoto na kufa..kufa maana yake kwishnei hutoota ndoto hutohisi njaa hutohisi nyege halafu kuhusu ndoto sio kitu cha ajabu ukumbuke hata mahindi nayo yanaota.
Kuna maisha baada ya kifo ambayo yanategemea maamuzi na matendo yetu tukiwa hai.Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu?
Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu wala maisha mengine. Wengine wanaamini kuwa kifo ni mlango wa kuingia katika maisha mengine, ambako matendo ya duniani yanaendelea kuwa na maana.
Sasa hebu tufikiri.
Kama tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu, je, kuna sababu ya kujinyima sana? Je, tuishi kwa kutumia na kufurahia mali zetu kadiri tuwezavyo kwa sababu baada ya kifo hakuna tena nafasi nyingine?
Lakini kama kweli kuna maisha baada ya kifo, je, si busara kuishi kwa tahadhari? Tuilinde miili yetu, tusiiharibu kwa makusudi, na tufe tukiwa na nguvu na afya kadiri inavyowezekana, kwa imani kwamba huenda kuna safari nyingine inayotuhitaji baada ya maisha haya.
Wewe unaamini nini? Je, kifo ni mwisho wa kila kitu, au ni mwanzo wa maisha mengine? Na kwa nini unaamini hivyo?
Unadhani huo Moto upo makaburini?Hakuna cha wana wa Mungu Wala wa shetani sote ni wa Mungu ila issue ya kuchomwa moto huenda haipo. Hii dunia ina zaidi ya miaka bilioni kadhaa. Kwa mfano tuamue kutumia tu kalenda ya Sasa tuko mwaka 2026 sasa ukichukua mwaka WA kwanza mpaka mwaka 1790 hakuna hata binadamu mmoja anayeishi leo hii hata wa 1800 kamili waliopo hawafiki hata 200 dunia nzima. Unaniambiaje Kuna wakati tutachomwa moto wakati waliokufa mabilioni kwa mabilioni wametelekezwa tu hivohivo
Aliye free kwa ajili ya kuuana au kumuua?Nani yupo free tufanye majaribio ya swali la mtoa mada tujue ukifa inakuwaje unazaliwa au kwenda jumla baada ya majaribio tuje tutoe na ushahid
vyoteAliye free kwa ajili ya kuuana au kumuua?
Kukujibu, kifo sio mwisho wa kila kitu kutokana na facts zifuatazo.Je, kifo ni mwisho wa kila kitu, au ni mwanzo wa maisha mengine? Na kwa nini unaamini hivyo?
Hakuna moto popote ukifa ndo biashara imejifunga nafikiri hivyoUnadhani huo Moto upo makaburini?
Ndiyo kuna maisha baada ya kifo lakini sio ktk mwili.Yesu alisema ktk yohana 11.25. "Yeye aniaminie ajapokufa atakuwa anaishi" maisha katika mwili hapa duniani ni ya kitambo:lakini ya kiroho ni ya milele kutegemea matendo ya mtu kumpeleka hukumuni au peponiKuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu?
Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu wala maisha mengine. Wengine wanaamini kuwa kifo ni mlango wa kuingia katika maisha mengine, ambako matendo ya duniani yanaendelea kuwa na maana.
Sasa hebu tufikiri.
Kama tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu, je, kuna sababu ya kujinyima sana? Je, tuishi kwa kutumia na kufurahia mali zetu kadiri tuwezavyo kwa sababu baada ya kifo hakuna tena nafasi nyingine?
Lakini kama kweli kuna maisha baada ya kifo, je, si busara kuishi kwa tahadhari? Tuilinde miili yetu, tusiiharibu kwa makusudi, na tufe tukiwa na nguvu na afya kadiri inavyowezekana, kwa imani kwamba huenda kuna safari nyingine inayotuhitaji baada ya maisha haya.
Wewe unaamini nini? Je, kifo ni mwisho wa kila kitu, au ni mwanzo wa maisha mengine? Na kwa nini unaamini hivyo?
75:04 Qur'anUkifa umekufa hakuna cha kiama wala paradiso hawa wachungaji na mashehe wanaturisha matango pori tuu
Waliandika watu pia75:04 Qur'an
Kumbe, basi walikuwa na akili sana kuweza kugundua utofauti wa fingerprints kwa binadamu.Waliandika watu pia