Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Hayo ni maneno ya mwizi sugu anawapanga wapiga-kura wasimtose.Acha uhuni wako.Kama wazee wetu wasingepambania haki na ustawi leo hii ungekuwa wapi?Maraboook wewe!Kalale!"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Mwizi na tapeli kwenye ulimwengu wa siasa hujifanya kuwatetea wanyonge lakini kimoyo-moyo anasema "hawa ngoja niwalambe". So, kujifanyisha humu kana kwamba mnahuruma na wananchi, kuleta unafiki kwamba mnapigania ukombozi ni wizi kama wizi mwingine tu.Hayo ni maneno ya mwizi sugu anawapanga wapiga-kura wasimtose.Acha uhuni wako.Kama wazee wetu wasingepambania haki na ustawi leo hii ungekuwa wapi?Maraboook wewe!Kalale!
Maisha bila kuwa chawa yanawezakana!"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Uvivu wa kukimbia kilimo"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Kuna maisha baada ya kutumika na kikundi cha watu, ila ni hasara zaidi kufuata mkumbo.ππKuna maisha baada ya uchawa.. Linda utu wako kataa kuwa Chawa
Maisha bila kukurupuka inawezekana. ππMaisha bila kuwa chawa yanawezakana!
Uvivu wa kufikiri tu!ππUvivu wa kukimbia kilimo
Jini jike la Kizimkazi lazima litolewe!"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Uvivu wa kufikiri tu!ππJini jike la Kizimkazi lazima litolewe!
Uvivu wa kufikiri tu!ππ
Kuna maisha baada ya kuandika na kudhalilisha watu.ππ
Haki kwanza amani itakuja yenyewe"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Profesa Janabi, njoo usaidie wadogo zako huku, mwaga wataalamu wa afya ya akili.ππHaki kwanza amani itakuja yenyewe
Ujumbe umfikie Bibi wa Kizimkazi mnyonya damu za watu! πππKuna maisha baada ya kuandika na kudhalilisha watu.ππ
Chukua time wewe ni kibaka tu.Mwizi na tapeli kwenye ulimwengu wa siasa hujifanya kuwatetea wanyonge lakini kimoyo-moyo anasema "hawa ngoja niwalambe". So, kujifanyisha humu kana kwamba mnahuruma na wananchi, kuleta unafiki kwamba mnapigania ukombozi ni wizi kama wizi mwingine tu.
Ni ungwana, kama hujui kaa kwa kutulia, usishupaze shingo kwa ambayo huyajui ukajikuta nawe uko miongoni mwa wezi wanaojifanyisha wanawapigania wananchi au kuonyesha huruma kwa wananchi.
"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.