Nimekwisha kuambia, wewe ni mwenda wazimu, na hilo linaendelea kujidhihirisha katika maandishi yako hapa.Sasa ukitaka kuona ukichaa ndio huu sasa, wewe ni nani uzuie watu kupiga kura, ujue bangi zingine ukivuta jitahidi kuziambia "Bangi ni Bangue Akili zangu niachie". Ukiruhusu bangi ikapeperuka na akili yako, matokeo yake ndio haya... Janabi kujia watu wako huku 😂😂