PreGE2025 Kuna maisha baada ya uchaguzi, linda amani, kataa chokochoko zao

PreGE2025 Kuna maisha baada ya uchaguzi, linda amani, kataa chokochoko zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndio ulichobakiza kwenye kichwa chako, umemezeshwa na jamaa yule (fake preacher), ambaye yeye anawahadaa wananchi kwa uongo now ameingia kutumia maneno ya kibaguzi kwa watu. Na wewe umejaa kwenye mfumo, upuuzi ni upuuzi tu. Bangi mnazovutishwa na hao wanaowatumia sio nzuri wallah! 😂😂😂😂
Dawa ya Maponjoro ni kuwanyoosha tu. Safari hii tutapambana na vichambo vyenu vyote. Yaani ni kuwashambulia tu kuanzia majini, angani na nchi kavu.
 
Dawa ya Maponjoro ni kuwanyoosha tu. Safari hii tutapambana na vichambo vyenu vyote. Yaani ni kuwashambulia tu kuanzia majini, angani na nchi kavu.
Hamna lolote 😂😂😂 watoto wadogo sana kwenye huu ulimwengu wa siasa. Kama bado mnashikiliwa akili na kile kijamaa kiigizaji kupitia madhabahu 😂😂😂😂 Labda mtashinda kwenye umbea lakini sio kujenga hoja.
 
"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." — Alloyce, P.R.
Amani tunahitaji lakini watekaji atuwataki Kwa vyoyote vile, uchaguzi hili uwe wa huru na haki lazima ifanyike reform kama sivyo hakuna uchaguzi kabisa💯⚒️
 
Kweli kabisa mkuu kuna wafiki na wezi wapo kwenye ofisi za maamuzi wanatutoa sadaka kimyakimya kwa tamaa zao za madaraka alafu bahati mbaya sio wa kwetu bali ni wa nchi jirani.
Tukatae hili kwa nguvu zote maana wanataka kutumia huruma yetu kutulaghai ili waendelee kunywa damu za watu na kuharibu uchumi wetu....

Amka sasa tetea nchi yako
Hawa hawawezi vita ya hoja, wanaweza umbea na matusi tu😂😂. Sasa hawa dawa yao nikuwakaanga kwa hoja, tuwabane kila angle hadi watema pesa za wanaowatuma kuleta umbea TZ. 😂😂
 
Hawa hawawezi vita ya hoja, wanaweza umbea na matusi tu😂😂. Sasa hawa dawa yao nikuwakaanga kwa hoja, tuwabane kila angle hadi watema pesa za wanaowatuma kuleta umbea TZ. 😂😂
Tatizo hawajibu kwa hoja bali kwa kuteka, kuua na kubambikia kesi.
Kinachotakiwa tuseme wote no reform no election
 
Tatizo hawajibu kwa hoja bali kwa kuteka, kuua na kubambikia kesi.
Kinachotakiwa tuseme wote no reform no election
Wewe hapo umetekwa au umeuwawa? Hapa si umeandika hoja, nani amekuteka baada ya kuandika 😂😂 tusitumie shida za watu kupenyeza agenda zetu, wakati hata huo uwezo wa kushinda uchaguzi haupo, hata iwekwe kwa kunyoosha mkono na kuhesabiwa bado huwezi kushinda 😂😂😂
 
. WAKE"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." — Alloyce, P.R.
OLE WAKE MTANZANIA ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA .

No reform no election
 
Kumbe kupambana na tatizo ni mpaka likutokee? Wezi wakivamia kwa jirani unasema hamna wizi kwakua sio kwako sio, punguani mmoja wewe
Kwani ambao tumewapa idhini ya kuchunguza si wapo? Au sisi wote tuwe idara ya upelelezi? Why tunalo jeshi la Polisi na idara zingine za Usalama? Muhimu tujenge hoja namna gani ya kuepukana na hayo matukio sio kuja na misimamo ya hovyo sawa na uislamu na yule mdudu 😂😂
 
OLE WAKE MTANZANIA ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA .

No reform no election
😂😂😂 Ndio shida ya kula viporo asubuhi, hivi kama hapa tu unaogopa kutumia jina lako halisi na kuweka picha yako halisi, unawezaje kututishia kupiga kura 😂😂😂 Mchanganyiko wa Bangi na Kiporo ni Hatari kwa Afya. Narudia tena, Profesa Janabi waambie hawa watu waache kula viporo asubuhi. 👋😂
 
Mwizi na tapeli kwenye ulimwengu wa siasa hujifanya kuwatetea wanyonge lakini kimoyo-moyo anasema "hawa ngoja niwalambe". So, kujifanyisha humu kana kwamba mnahuruma na wananchi, kuleta unafiki kwamba mnapigania ukombozi ni wizi kama wizi mwingine tu.

Ni ungwana, kama hujui kaa kwa kutulia, usishupaze shingo kwa ambayo huyajui ukajikuta nawe uko miongoni mwa wezi wanaojifanyisha wanawapigania wananchi au kuonyesha huruma kwa wananchi.
We jamaa ni rubbish
 
"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." — Alloyce, P.R.
Kikubwa tendeni haki tu banyana'ing'we! Yale mambo yenu ya Kukata watu hovyo hovyo ndiyo yatatuingiza kwenye vurugu!
 
Kikubwa tendeni haki tu banyana'ing'we! Yale mambo yenu ya Kukata watu hovyo hovyo ndiyo yatatuingiza kwenye vurugu!
Sema ungesema mamlaka zinazohusika zitende haki, ukisema "tutende haki, mara ooh! tunakata watu inakua sio sawa" mimi sio tume bali mimi ni raia kama walivyo wengine ila natumia jukwaa hili kufikisha mawazo na fikra zangu.
 
Back
Top Bottom