Nyie wapumbavu mnapo itaka amani msisahau neno haki, anye teka na kuua ndiye anaye imba amani huoni huo ni ujinga
Upumbavu ni pale unapodhani unaweza kupata haki pasipo amani. Sudani walitafuta vita vya wenyewe kwa wenyewe wakidhani watapata haki, Kenya wameuana wenyewe kwa wenyewe wakidhani watapata haki, Rwanda waliuana wenyewe kwa wenyewe wakidhani haki wataipata na democracy itakua sawa, Libya waliingia kupigana wenyewe kwa wenyewe wakidhani watapata haki.
Unajua ukijichokea maisha yako ni bora ukajinyonga mwenyewe au ujipeleke kituo cha polisi uwaambie wakuhifadhi kwa muda akili yako ikikaa sawa urudi kwako ule kande/mihogo ulale sio kuwavutisha wengine bangi ukitaka waingie kupigana.
Mwenye kufikiria Tanzania kwanza lazima aseme amani kwanza, mwenye kufikiria njaa zake atasema haki kwanza, hiyo haki utaidai kutoka kwa nani wakati wa machafuko? Neno haki inazaliwa na kitu Rebuilding, Reconciliation, Reforms, na Resilience. Hayo mambo manne huwezi kuyafanya pasipo uwepo wa amani.
Ushauri wangu, mkae msome historia ya kudai haki na mtajua namna ya kudai haki sio kama mnavyojizima data hapa.
Uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa Hayati J.K Nyerere, na wahasisi wengine kujenga hoja ya kwa nini wanataka uhuru wa watanganyika. Hii ni case ya Tanganyika sitahitaji uipeleke kwingine kokote kwa sababu kila Taifa kuna namna walipambania uhuru wao.
Muhimu tu, unapopanga kuvuruga amani ni vyema napo tukajua tu, kuna vyombo ambavyo vimekula kiapo kuilinda amani ya Taifa. Sasa, tukikaza fuvu, na kuendeshwa kwa mihemko na vibaraka wachache, hakika vizazi vyetu vitakua vinajutia kuwa na wazazi kama sisi wakaza fuvu, kujizima data, kudhani wewe ndio anaijua haki pasipo wajibu..😂😂 very sad.