Maisha yalikuwepo,yapo na yatakuwepo. No reforms No election."Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Haki huinua Taifa?Profesa Janabi, njoo usaidie wadogo zako huku, mwaga wataalamu wa afya ya akili.ππ
Utadai vipi haki na hauna amani? Tuache uvivu wa kufikiria surely ππ
Mbogamboga bado mnaamini Kuna uchaguzi mwaka huu?"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Una uenda wazimu wewe?"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Kumbe sikukosea, wewe ni chizi?Mwizi na tapeli kwenye ulimwengu wa siasa hujifanya kuwatetea wanyonge lakini kimoyo-moyo anasema "hawa ngoja niwalambe". So, kujifanyisha humu kana kwamba mnahuruma na wananchi, kuleta unafiki kwamba mnapigania ukombozi ni wizi kama wizi mwingine tu.
Ni ungwana, kama hujui kaa kwa kutulia, usishupaze shingo kwa ambayo huyajui ukajikuta nawe uko miongoni mwa wezi wanaojifanyisha wanawapigania wananchi au kuonyesha huruma kwa wananchi.
Sawa Kibaka wa Vibaraka. ππChukua time wewe ni kibaka tu.
Sasa ukitaka kuona ukichaa ndio huu sasa, wewe ni nani uzuie watu kupiga kura, ujue bangi zingine ukivuta jitahidi kuziambia "Bangi ni Bangue Akili zangu niachie". Ukiruhusu bangi ikapeperuka na akili yako, matokeo yake ndio haya... Janabi kujia watu wako huku ππUna uenda wazimu wewe?
Unazungumzia uchafuzi upi?
Nani kakwambia kutakuwepo na uchafuzi mkuu?
Huko ulikojificha pangoni kwako hakuna aliyekwambia kuna kitu kinaitwa NO REFORM, NO ELCTION?
Kwanza hata hueleweki unazungumzia kitu gani hapa!
Kufuata sheria huinua Taifa.Haki huinua Taifa?
Wanauwawa na nani? Kwani hapo wewe ulipo ni marehemu?Hawahawa watanzania wanaouwawa?!
Hapana mimi sio chizi. Ila nawasisitizia kuna maisha baada ya kuemka na kuemliwa na kikundi cha wachache ambao wapo kwa maslahi yao, sio ya wananchi kama mnavyodhania ninyi πππ Sasa ukigoma unakua chizi.Kumbe sikukosea, wewe ni chizi?
Huoni watu wanaotekwa na kupotea na wengine kuuliwa? Kwako hayo mambo ni mazuri ya kuyatetea humu?
Sawa. Si kuna taaratibu za kudai haki, ili kurejeshwa kwa mgombea?Chokochoko lazima ziwepo yaani mtu unajiandaa miaka 5 ugombee halafu ded anakuengua bila kuafata sheria!
Huu utoto tumeusikia kabla hujatungwa Mimba wewe Chawa jike."Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Kama Utakuwa Tayar kwa Mjadala niambie Je Huruma Hizo wanAnchi hawakustahili? ,Na Je hawapaswi kuhurumiwa Kwa sababu tu kuna Uchaguzi? Je wanapaswa Kupuuzwa Ili waingie kwenye uchaguzi wakimaliza Ndo waonewe Huruma?Mwizi na tapeli kwenye ulimwengu wa siasa hujifanya kuwatetea wanyonge lakini kimoyo-moyo anasema "hawa ngoja niwalambe". So, kujifanyisha humu kana kwamba mnahuruma na wananchi, kuleta unafiki kwamba mnapigania ukombozi ni wizi kama wizi mwingine tu.
Ni ungwana, kama hujui kaa kwa kutulia, usishupaze shingo kwa ambayo huyajui ukajikuta nawe uko miongoni mwa wezi wanaojifanyisha wanawapigania wananchi au kuonyesha huruma kwa wananchi.
Nyinyi maponjoro hamjawahi kuwa na akili. Na hiki hiki ndichi kitu ninacho kifahamu siku zote."Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Nyie wapumbavu mnapo itaka amani msisahau neno haki, anye teka na kuua ndiye anaye imba amani huoni huo ni ujinga"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." β Alloyce, P.R.
Upumbavu ni pale unapodhani unaweza kupata haki pasipo amani. Sudani walitafuta vita vya wenyewe kwa wenyewe wakidhani watapata haki, Kenya wameuana wenyewe kwa wenyewe wakidhani watapata haki, Rwanda waliuana wenyewe kwa wenyewe wakidhani haki wataipata na democracy itakua sawa, Libya waliingia kupigana wenyewe kwa wenyewe wakidhani watapata haki.Nyie wapumbavu mnapo itaka amani msisahau neno haki, anye teka na kuua ndiye anaye imba amani huoni huo ni ujinga
Ndio ulichobakiza kwenye kichwa chako, umemezeshwa na jamaa yule (fake preacher), ambaye yeye anawahadaa wananchi kwa uongo now ameingia kutumia maneno ya kibaguzi kwa watu. Na wewe umejaa kwenye mfumo, upuuzi ni upuuzi tu. Bangi mnazovutishwa na hao wanaowatumia sio nzuri wallah! ππππNyinyi maponjoro hamjawahi kuwa na akili. Na hiki hiki ndichi kitu ninacho kifahamu siku zote.