PreGE2025 Kuna maisha baada ya uchaguzi, linda amani, kataa chokochoko zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dawa ya Maponjoro ni kuwanyoosha tu. Safari hii tutapambana na vichambo vyenu vyote. Yaani ni kuwashambulia tu kuanzia majini, angani na nchi kavu.
 
Dawa ya Maponjoro ni kuwanyoosha tu. Safari hii tutapambana na vichambo vyenu vyote. Yaani ni kuwashambulia tu kuanzia majini, angani na nchi kavu.
Hamna lolote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watoto wadogo sana kwenye huu ulimwengu wa siasa. Kama bado mnashikiliwa akili na kile kijamaa kiigizaji kupitia madhabahu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Labda mtashinda kwenye umbea lakini sio kujenga hoja.
 
Amani tunahitaji lakini watekaji atuwataki Kwa vyoyote vile, uchaguzi hili uwe wa huru na haki lazima ifanyike reform kama sivyo hakuna uchaguzi kabisaπŸ’―βš’οΈ
 
Hawa hawawezi vita ya hoja, wanaweza umbea na matusi tuπŸ˜‚πŸ˜‚. Sasa hawa dawa yao nikuwakaanga kwa hoja, tuwabane kila angle hadi watema pesa za wanaowatuma kuleta umbea TZ. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa hawawezi vita ya hoja, wanaweza umbea na matusi tuπŸ˜‚πŸ˜‚. Sasa hawa dawa yao nikuwakaanga kwa hoja, tuwabane kila angle hadi watema pesa za wanaowatuma kuleta umbea TZ. πŸ˜‚πŸ˜‚
Tatizo hawajibu kwa hoja bali kwa kuteka, kuua na kubambikia kesi.
Kinachotakiwa tuseme wote no reform no election
 
Tatizo hawajibu kwa hoja bali kwa kuteka, kuua na kubambikia kesi.
Kinachotakiwa tuseme wote no reform no election
Wewe hapo umetekwa au umeuwawa? Hapa si umeandika hoja, nani amekuteka baada ya kuandika πŸ˜‚πŸ˜‚ tusitumie shida za watu kupenyeza agenda zetu, wakati hata huo uwezo wa kushinda uchaguzi haupo, hata iwekwe kwa kunyoosha mkono na kuhesabiwa bado huwezi kushinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
OLE WAKE MTANZANIA ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA .

No reform no election
 
Kumbe kupambana na tatizo ni mpaka likutokee? Wezi wakivamia kwa jirani unasema hamna wizi kwakua sio kwako sio, punguani mmoja wewe
Kwani ambao tumewapa idhini ya kuchunguza si wapo? Au sisi wote tuwe idara ya upelelezi? Why tunalo jeshi la Polisi na idara zingine za Usalama? Muhimu tujenge hoja namna gani ya kuepukana na hayo matukio sio kuja na misimamo ya hovyo sawa na uislamu na yule mdudu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
OLE WAKE MTANZANIA ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA .

No reform no election
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndio shida ya kula viporo asubuhi, hivi kama hapa tu unaogopa kutumia jina lako halisi na kuweka picha yako halisi, unawezaje kututishia kupiga kura πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mchanganyiko wa Bangi na Kiporo ni Hatari kwa Afya. Narudia tena, Profesa Janabi waambie hawa watu waache kula viporo asubuhi. πŸ‘‹πŸ˜‚
 
We jamaa ni rubbish
 
Huu utoto tumeusikia kabla hujatungwa Mimba wewe Chawa jike.
Sasa hiki nacho kinataka nijibizane nachoπŸ˜‚πŸ˜‚ kama hujui unakotoka daima huwezi kujua unakoenda. Acha kua Mwanamke mbea, jitahidi uwe mke mwemaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kikubwa tendeni haki tu banyana'ing'we! Yale mambo yenu ya Kukata watu hovyo hovyo ndiyo yatatuingiza kwenye vurugu!
 
Kikubwa tendeni haki tu banyana'ing'we! Yale mambo yenu ya Kukata watu hovyo hovyo ndiyo yatatuingiza kwenye vurugu!
Sema ungesema mamlaka zinazohusika zitende haki, ukisema "tutende haki, mara ooh! tunakata watu inakua sio sawa" mimi sio tume bali mimi ni raia kama walivyo wengine ila natumia jukwaa hili kufikisha mawazo na fikra zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…