PreGE2025 Kuna maisha baada ya uchaguzi, linda amani, kataa chokochoko zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimekwisha kuambia, wewe ni mwenda wazimu, na hilo linaendelea kujidhihirisha katika maandishi yako hapa.
 
Hapana mimi sio chizi. Ila nawasisitizia kuna maisha baada ya kuemka na kuemliwa na kikundi cha wachache ambao wapo kwa maslahi yao, sio ya wananchi kama mnavyodhania ninyi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa ukigoma unakua chizi.
Huelezi chochote kinacho eleweka. Hicho kikundi cha wachache ni akina nani hao. Hicho kikundi kilichopo sasa kinachoteka watu na kuwaua wewe unakionaje?
Jieleze vizuri tukuelewe, badala ya kujifumbafumba tu!
 
Namna unakurupuka inadhihirisha kuna changamoto (mental case)
Hapana, twende taratibu. Nataka nikunyooshe, kwa sababu unaonyesha umepinda pinda sana kiakili.
Eleza mada yako inawazungumzia akina nani kwanza, halafu tutaendelea tokea hapo.
 
Tanzania viongozi wanahubiri amani ila wameshika vifaa vya kutesea na kuulia. Muda wote wanawaza hila. Hawajali haki wala utulivu. Tz hakuna haki wala utulivu, wananchi mioyoni wanachuki,maumivu na hofu vinachemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…